Che Maloni anapata mzigo sana.
Tsbalala akipanda anabaki hii mbaya sana
Kipindi cha pili wa kupanda anatakiwa kuwa Kapombe na Zimbwe Jr tu wakati team inapofanya mashambulizi, hawa wa kati wabaki kulinda counter.
 
Kwelii hili nimeliona Kwakwel
 
Simba kucheza tu hii michuano tayar tushawapiga yanga p*mbu za mat"ko
 
Reactions: BRN
Narudia Ni ngumu Sana kuwatoa aly ahly kwa mechi za kutoana ni vigumu mno dawa ya national ally ahly Ni yanga pekee
 
kocha muingize BOKOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…