Polee sanaa, mpira umechezwa na matokeo yameridhishaa,
Afu hii haiwahusuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujaona baadhi ya mbumbumbu wenzako wakimtupia lawama kocha bila shaka.

Subiri mechi zinazofuta halafu tuone kama hamtaanza kubweka kama ilivyo kawaida yenu.
 
Mbona kuna timu ilikufa mbili hapo kutoka kwa waarabu
 
Nakuheshimu sana mkuu, naomba unisamehe kwa kusema hv

ACHA BANGI
 
Una haha sana, pambania utopoloo yakoo nayo iwe ktk ramani ya Dunia,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii haiwahusuuuuu!!! Polee shostitooooo
 
Mkuu umewaza nje ya boksi. Hii ndio tunita akili kubwa.
Kongole kwako
 
Hujaona baadhi ya mbumbumbu wenzako wakimtupia lawama kocha bila shaka.

Subiri mechi zinazofuta halafu tuone kama hamtaanza kubweka kama ilivyo kawaida yenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambania utopoloo yakoo shogaa angu, hii Simba itakutesaa sanaa.
Yaan badoo hujasema, hadi usemee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…