Tunasubiri kuwaona nanyie
Si mko nao kundi moja hawa?

Usiku wa deni haukawii ujue
 
Haya, hongereni wenzetu. Kwa mara ya kwanza nakiri nimekuwa mzalendo.
Mechi ilikuwa kali na ya kuvutia, kudos.
Asante sana kwa pongezi zako mama, najua umetoa pongezi za dhati kwa kuwa wewe unajua sana mpira. Tuombe heri kwenye marudiano Mungu atufanyie muujiza.

Ova
 
Asante sana kwa pongezi zako mama, najua umetoa pongezi za dhati kwa kuwa wewe unajua sana mpira. Tuombe heri kwenye marudiano Mungu atufanyie muujiza.

Ova
Arsene Wenger atabaki na kumbukumbu nzuri ya Tanzania sio Simba. Unadhani ubao ungesoma 5-0 kwa Ahly future yetu ktk soka kama Nchi ingekuwaje?
Tunataka kuwaona akina Samatta wengine EPL kama wenzetu Nigeria, Ghana, Burkina Faso n.k ambao tayari wanaaminika huko.

Ona tumepata heshima ya mechi ya ufunguzi, bado AFCON 2027. Ni ujinga kuwashangilia Waarabu dhidi ya bendera ya Nchi yetu.
Ila nyie pia siwashabikii. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…