Kwa tunaojua football, tumpe simba mkono WA Kwa Heli ,Asante kwa kushiriki mpaka watakapo ajiri bench la ufundi linalojua nin maana ya "knock out stage"
Simba wamejitahidi bana.Usifikiri walikua wanacheza na Ihefu.
 
Refa kalewa mlungula...kajivunjia. ila waarabu transitions zao za ukweli balaa.
 
Sijui kwanini watu hawasemi, kuna haja ya Kapombe na Mohd Hussein kuwekwa nje taraitibu na hasa Kapombe alikuwa na game mbaya sana hakushinda hata 1-1 moja walikuwa wanapita tu labda Alhly huku kushoto walikuwa na watu wabaya sana lakini kwa uzoefu kwa Kapombe angeleta vita ila ilikuwa kinyume walikuwa wanapita tu. Kapombe akienda Egypt kama leo basi itakuwa majanga. Mohd Hussein position haikuwa nzuri yule Mmakonde hata JKT Ruvu hachezi. Jamani vile vifaa viwili kushoto Slim sijui na Shehate ni balaa kama huna fitness nzuri na umakini yatakukuta ya Kapombe.
 
Arsene Wenger atabaki na kumbukumbu nzuri ya Tanzania sio Simba.
Atabaki na kumbukumbu ya Simba vs Al ahly in Tanzania.
Unadhani ubao ungesoma 5-0 kwa Ahly future yetu ktk soka kama Nchi ingekuwaje?
Wenger ameshawahi fungwa goli nane. Sidhani kama kungekuwa na maajabu kwa hawa viongozi wakubwa.
Tunataka kuwaona akina Samatta wengine EPL kama wenzetu Nigeria, Ghana, Burkina Faso n.k ambao tayari wanaaminika huko.
Kabisa. Nakubaliana na wewe.
Ona tumepata heshima ya mechi ya ufunguzi, bado AFCON 2027. Ni ujinga kuwashangilia Waarabu dhidi ya bendera ya Nchi yetu.
Binafsi huwa naona kwenye club ni sawa tu kama mtu kapenda kushangilia timu isiyo ya nchi yake.

kwani ingetokea club ya kiarabu ina wachezaji 4 wa Tanzania na inacheza na Simba/Yanga yenye wachezaji wengi wa kiarabu ingekuwa ni kosa kuwasapoti hao watanzania?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]ndo maana mnaishia robo fainali na hizi kauli zenu etiih hatuwadaihuyu demu ake nani anipandisha midadi mwambieni bhana ASANTE!?
 
Lini yanga ameshinda ugenini kwa Al Ahly? Tafadhali usilinganishe ng'ombe na nyati eti kwa sababu wote ni wanyama!! Huwezi kul;inganishga Al Ahly na yule mliyecheza naye kombe la losers!!
Kwenye kombe la loser uliwahi kushinda ugenini?
 
Hayo yalikuwa ni maboresho ya fast kuruhusu hii game ipite. Utafungwa then maboresho makubwa yatafanyika na kuisha July 2024.
Safi, tutakua na uwanja bora sana, tatizo utunzaji.
Pia ule wa Dodoma ukikamilika itakua poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…