joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kipa hana kosa ule mpira beki ndio alitakiwa aclear,hivi umeziona through pass mbili za hatari kwenye boksi lenu kama dk 10 zilizopita. .Goli Lao la pili ni kama tumewapa zawadi. Kipa na mabeki wote walipoteza concentration