Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kbs kbs ndugu watuache tuuu. Ikifika mda wa hyo marudiano ndo waanze na hyo milima yao sijui mabondeKikubwa hatujafungwa...full stop kuhusu mlima au bonde kitajulikana mbele ya safari
Kama unaona wivu mimi nikishangilia jinyonge...
Tuwape hongera zao bwana, mtani kaupiga mpiraSimba wanashangilia sare ya mimba 2 ya mgeni sebuleni 🤣🤣🤣 Kweli makolo ni makolo!
Bado hujasemaaaaaa... 🤣Cairo,.. simba itaenda kupigwa 5 si 6..
Unless BODI impige Chini haraka ROBERTNO ...
Huwezi kuanza na MICQUISON mechi kubwa ya kama Hii...hata haitaji kuwa kocha kujua uwezo wa MICQUISON tangu asajiliwe hadi anze naye..
Mechi inahitaji physique unaacha nje BALEKE , PHIRI,...
Timu haichezi soka linaloeleweka... kushukuru Mungu tu sare ya juhudi binafsi ...
Kwa style hii ya uchezaji wa fullbacks, ni aibu kwa kwa against Timu kubwa ...
Another poor match for SIMBA,
Achan nae hyo mtani inaonekana ana gubu sanaTuwape hongera zao bwana, mtani kaupiga mpira
Kwanza chomoa huo mwiko huko nyumaCairo,.. simba itaenda kupigwa 5 si 6..
Unless BODI impige Chini haraka ROBERTNO ...
Huwezi kuanza na MICQUISON mechi kubwa ya kama Hii...hata haitaji kuwa kocha kujua uwezo wa MICQUISON tangu asajiliwe hadi anze naye..
Mechi inahitaji physique unaacha nje BALEKE , PHIRI,...
Timu haichezi soka linaloeleweka... kushukuru Mungu tu sare ya juhudi binafsi ...
Kwa style hii ya uchezaji wa fullbacks, ni aibu kwa kwa against Timu kubwa ...
Another poor match for SIMBA,
Hawaamini walichokiona....Yaani Leo tungefungwaaa mbwa wa Yangaa tungewakomaa
Yaani ujinga wowote unaokujia kichwani unapost tu.Kwa tunaowajua waarabu nadhani tunaelewa kuwa safari yenu imeisha ( ayubu fc ).. mkienda kule mwafwa[emoji23][emoji23]
Kumbuka ni Yanga ndio ilimkanda mwarabu kwake USM Alger
Nini kifanyike
Simbaakimbie mechi au akubali yaishe au amtafute prof Nabi awape tuition ya kumfunga mwarabu kwake
NB: Tukutane j3 kwenye Derby kubwa East Africa Azam vs wananchi ( kiboko ya waarabu)
Sare tunashangilia hata ule mwiko uliosokomezwa na ihefu pia tunashangiliaSimba wanashangilia sare ya mimba 2 ya mgeni sebuleni 🤣🤣🤣 Kweli makolo ni makolo!
emewahi kucheza mpira?PIGA CHINI ROBERTNO....
Angalia team inavyo defence, Hivi sio game ya fullbacks kupanda sana mbele...
Wanampa kazi ngumu Inonga & Chemalone....
Team haikimbiii...ni kama imechoka...
Makosa ambayo tumeona huu udhaifu tangu ligi ianze...
Mara baada ya mechi ya hisani, huyo ROBERTNO alionekana tu ni SHATI..
AL Ahly, inaishambulia kwa idadi kubwa na kujilinda kwa idadi kubwa...
Kocha mkubwa alipaswa kuona hilo tangu mapema..
Simba asipofungwa 3 cjui.
Hii sio SIMBA tunayoijua kwa .Mkapa....
ROBERTINO huyo ni macho tu, hakuna hata Taste
..
.
Uharo huuKwa tunaowajua waarabu nadhani tunaelewa kuwa safari yenu imeisha ( ayubu fc ).. mkienda kule mwafwa[emoji23][emoji23]
Kumbuka ni Yanga ndio ilimkanda mwarabu kwake USM Alger
Nini kifanyike
Simbaakimbie mechi au akubali yaishe au amtafute prof Nabi awape tuition ya kumfunga mwarabu kwake
NB: Tukutane j3 kwenye Derby kubwa East Africa Azam vs wananchi ( kiboko ya waarabu)
Binafsi hata mimi siamini kabisa, Al Ahly kaishazoea kufungwa na Simba kwa Mkapa ila sijui imekuwaje leo imeshindikana. Dah kweli mpira una dundaHawaamini walichokiona....
Hebu chomoa kwanza ule mwiko wa ihefuKwa tunaowajua waarabu nadhani tunaelewa kuwa safari yenu imeisha ( ayubu fc ).. mkienda kule mwafwa[emoji23][emoji23]