FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League
Kikubwa hatujafungwa...full stop kuhusu mlima au bonde kitajulikana mbele ya safari
Kama unaona wivu mimi nikishangilia jinyonge...
Kbs kbs ndugu watuache tuuu. Ikifika mda wa hyo marudiano ndo waanze na hyo milima yao sijui mabonde
 
Cairo,.. simba itaenda kupigwa 5 si 6..

Unless BODI impige Chini haraka ROBERTNO ...

Huwezi kuanza na MICQUISON mechi kubwa ya kama Hii...hata haitaji kuwa kocha kujua uwezo wa MICQUISON tangu asajiliwe hadi anze naye..

Mechi inahitaji physique unaacha nje BALEKE , PHIRI,...

Timu haichezi soka linaloeleweka... kushukuru Mungu tu sare ya juhudi binafsi ...

Kwa style hii ya uchezaji wa fullbacks, ni aibu kwa kwa against Timu kubwa ...

Another poor match for SIMBA,
Bado hujasemaaaaaa... 🤣
Yani hapo chini ndo umeharibu kabisa...
 
Cairo,.. simba itaenda kupigwa 5 si 6..

Unless BODI impige Chini haraka ROBERTNO ...

Huwezi kuanza na MICQUISON mechi kubwa ya kama Hii...hata haitaji kuwa kocha kujua uwezo wa MICQUISON tangu asajiliwe hadi anze naye..

Mechi inahitaji physique unaacha nje BALEKE , PHIRI,...

Timu haichezi soka linaloeleweka... kushukuru Mungu tu sare ya juhudi binafsi ...

Kwa style hii ya uchezaji wa fullbacks, ni aibu kwa kwa against Timu kubwa ...

Another poor match for SIMBA,
Kwanza chomoa huo mwiko huko nyuma
 
Kwa tunaowajua waarabu nadhani tunaelewa kuwa safari yenu imeisha ( ayubu fc ).. mkienda kule mwafwa[emoji23][emoji23]
Kumbuka ni Yanga ndio ilimkanda mwarabu kwake USM Alger

Nini kifanyike
Simbaakimbie mechi au akubali yaishe au amtafute prof Nabi awape tuition ya kumfunga mwarabu kwake

NB: Tukutane j3 kwenye Derby kubwa East Africa Azam vs wananchi ( kiboko ya waarabu)
Yaani ujinga wowote unaokujia kichwani unapost tu.

Na hii Ni baada ya kwenda na matokeo uwanjani ulidhani Simba inaenda kufungwa.

Umebadili via angani.
 
Acha kubweka kalpna Sana furahia tu kupewa hadhi ya kufungua michuano otherwise Simba kwa hatu hz hanag nafsi na hawezi kuwa nayo kamwe[emoji23]
 
Sasa ni muda ya machaambuzi uchwara . zile ramli zote chaliii kila mmoja anasema yake
FB_IMG_1697710177255.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Um
PIGA CHINI ROBERTNO....

Angalia team inavyo defence, Hivi sio game ya fullbacks kupanda sana mbele...

Wanampa kazi ngumu Inonga & Chemalone....

Team haikimbiii...ni kama imechoka...

Makosa ambayo tumeona huu udhaifu tangu ligi ianze...
Mara baada ya mechi ya hisani, huyo ROBERTNO alionekana tu ni SHATI..

AL Ahly, inaishambulia kwa idadi kubwa na kujilinda kwa idadi kubwa...

Kocha mkubwa alipaswa kuona hilo tangu mapema..

Simba asipofungwa 3 cjui.

Hii sio SIMBA tunayoijua kwa .Mkapa....

ROBERTINO huyo ni macho tu, hakuna hata Taste
..

.
emewahi kucheza mpira?
 
Kwa tunaowajua waarabu nadhani tunaelewa kuwa safari yenu imeisha ( ayubu fc ).. mkienda kule mwafwa[emoji23][emoji23]
Kumbuka ni Yanga ndio ilimkanda mwarabu kwake USM Alger

Nini kifanyike
Simbaakimbie mechi au akubali yaishe au amtafute prof Nabi awape tuition ya kumfunga mwarabu kwake

NB: Tukutane j3 kwenye Derby kubwa East Africa Azam vs wananchi ( kiboko ya waarabu)
Uharo huu
 
Hebu chomoa kwanza ule mwiko wa ihefu
 
Back
Top Bottom