FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League
Kwa kweli game ilikua ya kiume sana, kongole kwa Simba, chama langu,
Uwanja wa Mkapa umefanyiwa maboresho makubwa sana, sikuona tofauti na ulaya au South Africa, tuzidi kuboresha uwanja wetu.
CC
financial services
 
Kosa kubwa walilofanya Makolo ni kuruhusu goli mbili za ugenini na ndio zitawapa wakati mgumu zaidi.
 
MAKOLO WANAKANDWAAAAAA


Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
Goooooooooooooooooooooooooooooooooollll
Khaa leo ulikuwa unakaribia kucheza mdumange.U hali gani kwa sasa?
 
Goli la pili walilofungwa Simba lilisababishwa na ujinga wa Baleke na Saido kubishana na mwamuzi kwa faulu aliyocheza Baleke kitendo cha kubishana na mwamuzi kilisababisha Simba kupoteza concentration kwenye ukabaji baada Al ahly kucheza mpira wa adhabu.
 
Mechi kama hizi za kimataifa na timu kubwa kubwa pamoja na matokeo ya angalau kutofungwa ndiyo huwafanya Simba kudunduliza mapoint over the years na kuifanya club kuwa Bora Barani Africa na kuwapiku Uto.
Huwa inashangaza kuwaona Uto kuweweseka, si mjitahidi na nyie?
Jitihada hizi huja kwa jasho, machozi na damu.
 
Back
Top Bottom