FT | Simba SC 1-0 Stellenbosch FC | Nusu Fainali CAFCC | New Amaan Stadium | 20.4.2025

Aliyekimbia mechi ni yule anayedai apewe points 3 za dezo...

Eti 🐸🐸 mpewe points 3 pasipo kumkaba Mpanzu!?

Hakuna kitu kama hicho... Hebu leteni timu uwanjani kama hamjakimbia.
Mpanzu huyu aliyekataliwa Beligium!!, Haya fuzuni basi kama yanga πŸ˜‚πŸ˜‚. Kombe la looser mnatoa jashoo were.. sisi ilikuwa bam bam bam wanakula tu...
 
Fadlu ni Conservative Sana. Jinsi asivyopenda kufanya mabadiliko hadi inashangaza.

Kwa mfano Kwa Sasa Nouma ni Bora zaidi kuliko Mohamed Hussen ambaye nadhani anapangwa kimazoea tu.
Afadhali kidogo siku hizi Simba ina ujasiri wa kumpumzisha Zimbwe. Kuna wakati ilikuwa hata azingue vipi lazima amalize game.
 
Mpanzu huyu aliyekataliwa Beligium!!, Haya fuzuni basi kama yanga πŸ˜‚πŸ˜‚. Kombe la looser mnatoa jashoo were.. sisi ilikuwa bam bam bam wanakula tu...
Pumbavuu yani kucheza na vile vitimu vya hovyo vilivyokuwa vinashuka daraja ndio mnajisifia mngekutana na wenye kombe lao kina Berkane na Zamalek unadhani mngetoboa hata nusu, hoja ni kwamba mahali ambapo yanga inafika ikiwa na kikosi kizuri simba inaweza kufika ikiwa na kikosi kibovu, yani mkiwa na striker kama mayele mkashindwa kubeba kombe lile halafu mnakuja hapa kutupigia kelele na medali utadhani ni wanariadha toka lini timu ya soka ikajisifia medali
 
Kwa timu ipi? Mnaenda kukandwa vizuri, mrudi kucheza na Namungo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Sasa hivyo vitimu si vilikuwa Sawa na nyie kwa nafasi katika ligi zao...wewe unacheza shirikisho Sawa na mallumo amabaye nae alishika nafasi ya 3/4 kwenye ligi yao!. Dhimba mbovu iko wapi ikacheze na Yanga princess kwanza πŸ˜‚.
Hebu kalete na ww hizo medali kama ni rahisi aloh.

Mshukuru refa kuwazawadia gori la dezo.... Ila kule bondeni mtachezeshwa Amapiano ya kila rangi🚢🚢
 
Simba nichuo cha mpira. Hii nikauli ya zamani sana ila sasa inajidhihirisha
 
Mpanzu huyu aliyekataliwa Beligium!!, Haya fuzuni basi kama yanga πŸ˜‚πŸ˜‚. Kombe la looser mnatoa jashoo were.. sisi ilikuwa bam bam bam wanakula tu...
Unataka kusema hilo kombe mnalo kabatini.... Hahahaaaa mlikuwa bam bam kugombea kombe la wamama na hamkulipata dadeki 🀣🀣

Sasa mko Manyara kugombea kombe la mbuzi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unataka kusema hilo kombe mnalo kabatini.... Hahahaaaa mlikuwa bam bam kugombea kombe la wamama na hamkulipata dadeki 🀣🀣

Sasa mko Manyara kugombea kombe la mbuzi πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio maana tukawachia waarabu, naona nyie mnaruka mpaka mnapakwa wese na mwamposa aseeπŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Unataka kusema hilo kombe mnalo kabatini.... Hahahaaaa mlikuwa bam bam kugombea kombe la wamama na hamkulipata dadeki 🀣🀣

Sasa mko Manyara kugombea kombe la mbuzi πŸ˜‚πŸ˜‚
Matako yao kwanza hawatawezaga kuzifikia rekodi za SIMBA SC.
 
Ndio maana tukawachia waarabu, naona nyie mnaruka mpaka mnapakwa wese na mwamposa aseeπŸ˜‚πŸ˜‚.
Au sio πŸ₯Ί NA LOLOTE BAYA LIWAKUTE YANGA hadi kombe la ndani mlikose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…