FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…aliahidi kitumbua kwa wanasimba 3.
Tena alienda kutoa ahadi mbele ya ofisi za tawi la simba.
Wakampa bia ili atoe ahadi yake vizuri
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ngaja tuone. Naona hapa kuna pirates na USM Alger ni marudiano au ile ya mwanzo????
mechi zote ni marudiano, hiyo ya Orlando ni Champions league ambayo aggregate alimpiga MC Alger kwao 1-0.

Ambayo na matumaini itapita ni USM Alger ambayo ilidraw 1-1 mechi ya kwanza.
 
Safi kabisa, hakuna kijidudu chochote nchi hii kinachoweza kutishia kuitikisa hii nchi, hakuna. Hako kabaraka ni kama unyoya wa kifaranga tu nchi hii.......mwepesiiiiii, wanamchora tu.
Zamani nilikuwa nikishtuka sana nikimuona mtu anamwita mwingine "wewe mbwa nini?"
Ila kwa sasa nimeelewa kuna watu wana akili kama mbwa tuu! Na wengine ni members wa JF
 


Na Mimi ndio nimejenga hoja kwamba malumo kama alikuwa mbovu kwenye ligi lakini aliwekeza nguvu kwenye shirikisho ndio maana alifika nusu fainali kwa ubora aliokuwa nao uko,,alishuka daraja kutokana na kuwekeza kwenye shirikisho zaidi kama kaizer chief ilivyofanya mwaka juzi,,usidhani Kila timu inaweza kufika kirahisi rahisi na kama ni rahisi wapeleke Tanzania prison na kengold wanaotaka kushuka daraja na wao wakafike nusu fainali kama malumo alivyofanya ukiwa na D 2 utanielewa nachokizungumzia!
 
mechi zote ni marudiano, hiyo ya Orlando ni Champions league ambayo aggregate alimpiga MC Alger kwao 1-0.

Ambayo na matumaini itapita ni USM Alger ambayo ilidraw 1-1 mechi ya kwanza.
Santo sana kwa mwongozo!

Kuna Mamelodi nao wakali ujue kale kajapan sijui ni kachina ka Piere Shilulile sijui naninani kamotro balaa!
Au washatolewa??
 
Bill
mtzedi
Mtoto halali na hela
Scars
Greatest Of All Time
Leo wote mko busy na kazi eti. 🀣🀣

Tunajua mnapumulia mashine huko mliko lakini njoeni muandike chochote basi. πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu we acha tu, hii game imenipa ugumu mno kuiangalia

Nimeiangalia kwa vituo sana kutokana na situation niliyokutana nayo sikuweza kuiangalia kwa uhuru.

Cha msingi tumevuka.

Imebaki kufika fainali tu ndio mnayotudai.
 
Mwamposa kafukuza mapepo ya utopolo..
Mashekhe wamefukuza majini...
Mtajua hamjui

Wakati Simba wameleta waganga, kweli Mwamposa angekuwa na Mungu wa kweli msingefungaz maana kachanganywa ma mashehe na waganga na hirizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…