FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Basi kama wewe ni Bora kuliko malumo na Rivers nenda na iyo timu yako ufike fainali kama wenzako tuone!
 
Mkuu we acha tu, hii game imenipa ugumu mno kuiangalia

Nimeiangalia kwa vituo sana kutokana na situation niliyokutana nayo sikuweza kuiangalia kwa uhuru.

Cha msingi tumevuka.

Imebaki kufika fainali tu ndio mnayotudai.
Ewaaa! Mtulipe kwa kufika Final.

Japo kama Nchi tunazidi kuwaka Kimataifa na hii imafanya yeyote anayepangwa na Timu ya Tanzania apate woga wa namna ya kupata matokeo mana kwa miaka ya sasa imekuwa si kitu rahisi.
 
Ewaaa! Mtulipe kwa kufika Final.

Japo kama Nchi tunazidi kuwaka Kimataifa na hii imafanya yeyote anayepangwa na Timu ya Tanzania apate woga wa namna ya kutoboa.
Sio anaepangwa na Simba๐Ÿ˜†

Hakika mtani. Sasa hivi wakisikia Tanzania wanawaza mara mbili. Wanaota joto ya Lupaso
 
Dakika za mwisho niliona machela zinavyofanya kazi.

Hongera watoa huduma ya kubeba machela๐Ÿ˜‚
Acha kabisa Mtani.

Ila hongereni kwa kulikimbia jina lenu pendwa la Mwakarobo. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nina furaha Mtani sababu mna asilimia chache sana za kusonga mbele na hii inatokana na nyie wenyewe hasa kwenye huu uzi vile mmejikatia tamaa. ๐Ÿ˜…
Walijitafutia penati wakapewa. Ona sasa wameipatia Simba milioni 40 za goli la yule mama. Ukiweka na zile 20 inaluwa 60๐Ÿ˜‚
 
Sio anaepangwa na Simba๐Ÿ˜†

Hakika mtani. Sasa hivi wakisikia Tanzania wanawaza mara mbili. Wanaota joto ya Lupaso
Yah! Umekuwa uwanja mgumu sana kwa wapinzani Mtani.

Hivi mnakuja kukutana na timu gani Semi Final?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ