Kwa position ya Saido, na jinsi alivyoupiga basi kama ungeguswa ule mpira usingeenda straight, either ungebabatiza mguu na kurudi ndani au kutoka nje na kuwa wa kurushwa au ungepaa juu na kuwa kona.Mkuu angalia vizuri wakati Saido anapiga mchezaji wa Singida aligusa ule mpira ndio maana kipa aliamua kukomaa japo ulikuwa una uelekeo wa kutoka
Utakutana na mishangao, kumbe ndio kazi uliyokuwa unaifanya eeeh? Haki nilijua tu! We haya b…Kwa hiyo ikiwa mipira ya pembeni tu, basi refa wa kati anatakiwa kufumba macho ili asubiri mshika kibendera aaamue? Au na yeye hufuatilia?
Ova
Kwa upotezaji muda wa yule kipa wa Singida, unadhani kulikuwa na ulazima wa yeye kulazimisha kudaka mpira ambao hauendi golini huku akijua kuwa ni goalkick?Kwa position ya Saido, na jinsi alivyoupiga basi kama ungeguswa ule mpira usingeenda straight, either ungebabatiza mguu na kurudi ndani au kutoka nje na kuwa wa kurushwa au ungepaa juu na kuwa kona.
Kamwe usingeenda straight vile, hata refa angekuwa mbali vipi, lile siyo jambo la kukanganya.
Sababu iko wazi kabisaLate commenter kama kawaida yangu...enheeee nini kimejiri huko,ati naskia matopolo au nyuma mwiko fc,kinyesi fc,kibudu fc,yameumia sana kuliko hata SFG fc???but why??
Hizi hasira ni kwa hisani ya KagereMsikilize bwana Ako Ali KAMWE, mi situmiagi hizo
Team ndogo ni ndogo tuu kaka😂🤣😁😁Kabisa kaka ila refa Leo kawabeba simba sc🤣😂😁😁
Hahahaaa! Sipo hivyo Mtani.Najua huendi kulala hadi mechi iishe so acha kutoroka baki hapa hapa ushuhudie mashabiki bora na wastaarabu tunavyotiririka na comments za unyama mwingi 😂
😀😀Mechi ikaisha tunaomba utupe Takwimu za kihasibu itasaidia sana ..
Nimecheka sana yaani. Lol.
Chukua hiyo kama imekuuma96 paka 98 [emoji23][emoji1787][emoji16][emoji16]
Hivi kagere alifanya nn nyie watu? Sijamuelewa kabisaHizi hasira ni kwa hisani ya Kagere
Kabisa mkuu, zile 6 ndio zilitokana na matukio ya kupoteza muda, mimi nataka mtu aje atuelezee ndani ya izo 6 nitukio gani lilitokea la kupoteza muda lililopelekea kuongeza zingine 3zilifidiwa 6 refa hizi nyingine alipata wapi
sijauliza matumizi
nimeuliza ziliongezwa sita huyu hadi zinafika tisa alipata wapi zingine ikinijibu ndo tuje zilitumiwaje ndo ntakuuliza kona ilitokea wap
Ndani ya dakika sita za nyongeza faulo zilifanyika mbili wachezaji wa Singida FG walijilaza uwanjani hadi refarii anaita madaktari wachezaji wa Singida wakawa wanakataa daktari asiingie kwasababu wanajua daktari akiingia lazima mchezaji atoke nje kwanza ndiyo aingie.sijauliza matumizi
nimeuliza ziliongezwa sita huyu hadi zinafika tisa alipata wapi zingine ikinijibu ndo tuje zilitumiwaje ndo ntakuuliza kona ilitokea wap