FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Mkuu angalia vizuri wakati Saido anapiga mchezaji wa Singida aligusa ule mpira ndio maana kipa aliamua kukomaa japo ulikuwa una uelekeo wa kutoka
Kwa position ya Saido, na jinsi alivyoupiga basi kama ungeguswa ule mpira usingeenda straight, either ungebabatiza mguu na kurudi ndani au kutoka nje na kuwa wa kurushwa au ungepaa juu na kuwa kona.
Kamwe usingeenda straight vile, hata refa angekuwa mbali vipi, lile siyo jambo la kukanganya.
 
Kwa hiyo ikiwa mipira ya pembeni tu, basi refa wa kati anatakiwa kufumba macho ili asubiri mshika kibendera aaamue? Au na yeye hufuatilia?

Ova
Utakutana na mishangao, kumbe ndio kazi uliyokuwa unaifanya eeeh? Haki nilijua tu! We haya b…
 
Ukikutana na hawa, lazima utajiharishia

1704930242475.png
 
Kwa position ya Saido, na jinsi alivyoupiga basi kama ungeguswa ule mpira usingeenda straight, either ungebabatiza mguu na kurudi ndani au kutoka nje na kuwa wa kurushwa au ungepaa juu na kuwa kona.
Kamwe usingeenda straight vile, hata refa angekuwa mbali vipi, lile siyo jambo la kukanganya.
Kwa upotezaji muda wa yule kipa wa Singida, unadhani kulikuwa na ulazima wa yeye kulazimisha kudaka mpira ambao hauendi golini huku akijua kuwa ni goalkick?

Kipa alijua kuwa mchezaji wake kagusa na akalazimika kuudaka ili kuzuia kona, bahati mbaya kaudaka ukiwa tayari umetoka hivyo ikawa ni kona.

Refa analaumiwa bure kwakua yametokea matokeo ambayo hamkuyataka baada ya hiyo kona.
 
Late commenter kama kawaida yangu...enheeee nini kimejiri huko,ati naskia matopolo au nyuma mwiko fc,kinyesi fc,kibudu fc,yameumia sana kuliko hata SFG fc???but why??
 
Singida ni tawi letu siku zote.
Wapandisheni Moro United ili Muwafunge.
 
Najua huendi kulala hadi mechi iishe so acha kutoroka baki hapa hapa ushuhudie mashabiki bora na wastaarabu tunavyotiririka na comments za unyama mwingi 😂
Hahahaaa! Sipo hivyo Mtani.

Ingekuwa Ligi kuu au Champions league ningekaa macho.
 
sijauliza matumizi
nimeuliza ziliongezwa sita huyu hadi zinafika tisa alipata wapi zingine ikinijibu ndo tuje zilitumiwaje ndo ntakuuliza kona ilitokea wap
Dakika za nyiongeza zinaweza kuongezeka lakini hazitakiwi kupungua. Anaweza kuongeza dakika nne ila zikachezwa dakika saba, hazipaswi kupungua hizo nne tu.
 
sijauliza matumizi
nimeuliza ziliongezwa sita huyu hadi zinafika tisa alipata wapi zingine ikinijibu ndo tuje zilitumiwaje ndo ntakuuliza kona ilitokea wap
Ndani ya dakika sita za nyongeza faulo zilifanyika mbili wachezaji wa Singida FG walijilaza uwanjani hadi refarii anaita madaktari wachezaji wa Singida wakawa wanakataa daktari asiingie kwasababu wanajua daktari akiingia lazima mchezaji atoke nje kwanza ndiyo aingie.

Hapo tu zilipotea zaidi ya dakika mbili za nyongeza kwahiyo refarii anajua mbinu za wachezaji kupoteza muda ana mamlaka ya kusimamisha muda ili dakika zilizoongezwa zichezeke kikamilifu.

Ndani ya dakika hizo sita palitokea faulo na kona hivyo kanunj ipo wazi refarii hawezi kumaliza mpira hadi kona ama faulo ichezwe.
 
Back
Top Bottom