Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
nimeipenda hii mwendo kasi 😅Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco
View attachment 2820288
hivi kwanini mechi wameieka saa nne?duh watu hamlali
TutashindaNaam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco
View attachment 2820288
Kabisa mwarabu kwa mkapa hatoki anakufaTutashinda
watakuwepo kina hakimi,ziyechKwahiyo akina Achraf Hakimi watakuwepo ndani ya nyumba leo?
NdioKwahiyo akina Achraf Hakimi watakuwepo ndani ya nyumba leo?
tv rights za warusha matangazo, so ni maagizo ya CAF.hivi kwanini mechi wameieka saa nne?
Asa itakuwaje jamani mi nipo busy? Hii mechi sio ya kuangalizia kwenye TV kabisa!Ndio
Nenda taifa myAsa itakuwaje jamani mi nipo busy? Hii mechi sio ya kuangalizia kwenye TV kabisa!
Historia hii!
Mtasuguliwa hata muweke makontena ya Bandari ya Waarabu.taifa lazima waingie na mkakati wa kulinda na kutumia mipira ya counter attack
Kwa mpira ule wa Taifa Stars na Niger waliocheza tutegemee aibu kubwa tunayoletewaMorroco 5+ CCM na nyumbu wake 0
Oyoooooooooo[emoji122][emoji122][emoji122][emoji28]