Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Wapasuke hata 10 kulalinaaah zao... Timu imekaaaa kiccm na makampeni ya kipumbavu.Kwa mpira ule wa Taifa Stars na Niger waliocheza tutegemee aibu kubwa tunayoletewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapasuke hata 10 kulalinaaah zao... Timu imekaaaa kiccm na makampeni ya kipumbavu.Kwa mpira ule wa Taifa Stars na Niger waliocheza tutegemee aibu kubwa tunayoletewa
Mama sijui anahusika nini hapo,mi kesho nasubiri wapigwe 3 safiWapasuke hata 10 kulalinaaah zao... Timu imekaaaa kiccm na makampeni ya kipumbavu.
Mpaka linakera. Na kesho wakitoa hata draw, utaona hizo sifa kama vile golini anakaa yeye.Wanasemaga too much is harmful, ndivyo ilivyo kwa ushiriki wa mama ktk michezo.
Mwanzoni ilikuwa nzuri, kwa kuonekana mama anapenda michezo na anatoa support.
Ila sasa hivi limekaa kisiasa zaidi, halivutii tena!
Na njaaTutashinda
Anatafuta popularity hana lolote. Anapambania kiti 2025Mpaka linakera. Na kesho wakitoa hata draw, utaona hizo sifa kama vile golini anakaa yeye.
Unachekeshahakimi tunamuwekea novatus ili asipande
Hakika watanzania ni wanyonge/watumwa.tv rights za warusha matangazo, so ni maagizo ya CAF.
WALLACE KARIA alisemea jana hili suala
Na iwe hivyoNaona mechi imeingizwa CCM na siasa zao za kisengelema...!!
Eeee mungu naomba Morocco kesho ashinde kuanzia Gori 5+
Saa nyingine kwenye soka kuna vitu vya aina yake. Najua umesema vile kwa kulinganisha viwango vya hao wachezaji wawili. Kuna siku "Cannavaro" alimkaba Didier Drogba mpaka tukawa hatuamini tunachokiona.Unachekesha
NakaziaMorroco 5+ CCM na nyumbu wake 0
Oyoooooooooo👏👏👏😅
Watakula nyingi kama mvuaTaifa lazima waingie na mkakati wa kulinda na kutumia mipira ya counter attack
Hata kushinda kijiweni nako ni kushindaTutashinda
Novatus kazi anayo maana hakim ana silaha ya mwendo, tunawaita MSINGI MBIO., novatus itabidi acheze akiwa na tahadhari ya ubora wa mpinzani wake.hakimi tunamuwekea novatus ili asipande