FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Hivi yule Irankunda na kuichezea tanzania imefikia wapi kwa mwenye kujua tafadhali
Nestoroy Irankunda hawezi kabisa kuichezea taifa stars, kwani yule tayari ana uraia wa Australia na ameshachezea timu za vijana za Australia na tayari Australia wananchukulia kama Messi wao.


Na pia yule sio mtanzania, alizaliwa Tanzania tu ila ni raia wa Burundi ukiacha kuwa mu-aussie.
 
Ligi ya Egypt ni sawa ni ligi ya bongo?
Ligi ya Egypt sio sawa na ya bongo alikadhalika pia Ligi ya Egypt sio sawa na ya Uturuki kiviwango na ubora!!

Mantiki yangu ilikuwa ni kwamba, mataifa ya wenzetu wanaujua mpira, huwezi ukakuta huu upuuzi wa kuita wachezaji kwa kuangalia anacheza wapi/Ligi gani na badala yake mchezaji anaitwa kwenye timu ya taifa kulingana na kiwango/ubora anao kuwa nao kwa wakati huo haijalishi anacheza wapi.
 
Dunia nzima sio yanga tu team zote zina mechi weekend na wachezaji wako kimataifa acha kulalamika kipumbavu
Wewe nawe umeshakuwa wa ovyo, nimelalamika wapi? Nimetoa ushauri. Nilipoona uzi wako kuhusu Baca nikagundua kuwa upo humu JF kwa bahati mbaya ulipaswa kuwa Facebook huko.
 
Back
Top Bottom