FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Waarabu hawa wa Morocco hawana nguvu ila Wana akili ya Mpira ..Sisi tuna nguvu hatuna akili ya kucheza mpira. Timu kama ya Senegal ina vyote viwili.

Kocha nae alichemsha...alikuwa anafanya majaribio kwenye mechi muhimu. Mpira ni saikolojia Pia...samatta na msuva wangebadilisha saikolojia yawaarabu.

Halafu lazima tujifunze kucheza pressing game...wao walikuwa wanafanya hivyo...Sisi tuliwapa muda wore na Mpira...na tulikuwa kama wageni cio wenyeji. Huwezi kucheza hivyo na timu yenye talent na akili ya Mpira.
 
Jana kocha alizingua Tu yeye mwenyewe angemuingiza mama aupige mwingi
 
Ata mimi kesho nki sajiriwa Ulaya jua tayari na no timu ya taifa[emoji28][emoji28]bado tuna ka ushamba
Egypt ina wachezaji kibao tu wanacheza Ligi kuu ya Uturuki(Turkish super League) lakini 80% ya wachezaji wanaounda timu yao ya taifa wanacheza pale pale Misri na hasa kutoka kwenye vilabu vya Zamaleki na Al Ahly. Huwezi ukaona wanamuita mchezaji kisa tu anacheza ulaya hata kama huko ulaya ni mkaa benchi
 
Ligi ya Egypt ni sawa ni ligi ya bongo?
 
CCM inafanya siasa hadi michezoni huu ni ushahidi kuwa nchi imekosa viongozi wenye maono ya kimaendeleo na kiusalama.Pole sana nchi yangu.Nyerere aliwahi kusema "fikra nzito huwa hazifi ila zinabakia zikikera na jamii ikizipuuza itaangamia.CCM wanacheza rafu zozote wanazoona zinawasaidia cha msingi refa ni wao na ipo siku wachezewa rafu wata stand firm ku resist.
 
Back
Top Bottom