Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Timu lenyewe Bovu alafu bado wanalipamba Uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwa in advance
Labda km Hakim hatakuwepo.Taifa lazima waingie na mkakati wa kulinda na kutumia mipira ya counter attack
😄😀😃🤣🤣😅😁Tanzania 0 5 Morocco
🤣😅🤣😃😀CcmM
Mtasuguliwa hata muweke makontena ya Bandari ya Waarabu.
Morocco 5+ CCM na nyumbu wake 0.
Taifa Stars piga hao waarabu chuma 1
Wanacheza na ile morocco iliyofika nusu fainali kombe la dunia 2022 au morroco nyingine?
Kila la kheri Morroco
Mgema amesifiwa na tembo kalijaza maji.Wanasemaga too much is harmful, ndivyo ilivyo kwa ushiriki wa mama ktk michezo.
Mwanzoni ilikuwa nzuri, kwa kuonekana mama anapenda michezo na anatoa support.
Ila sasa hivi limekaa kisiasa zaidi, halivutii tena!
Nenda sasa hivi taifa ,Kuna ticket 30k rais wako kanunua.Asa itakuwaje jamani mi nipo busy? Hii mechi sio ya kuangalizia kwenye TV kabisa!
Historia hii!
Sawa mkuu kwa heshima yako nitajaribu kuwa mzalendo katika nchi ambalo viongozi si wazalendo 😂Kwa Ashraf Sawa lakini mkuu kuwa mzalendo shabikia taifa stars.Hao wa praise team ni wasengerema tu achana nao.