FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Saa nyingine kwenye soka kuna vitu vya aina yake. Najua umesema vile kwa kulinganisha viwango vya hao wachezaji wawili. Kuna siku "Cannavaro" alimkaba Didier Drogba mpaka tukawa hatuamini tunachokiona.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
sio didier ni etoo mpaka mwisho wa mechi etoo akamfuata na kumpa mkono, wakabadilishana jezi, ile jezi ilimtetea cannavaro shida.
 
Hapo ndo umedhihirisha kwamba taifa stars siyo ya CCM maana Mimi na ccm ni kama mashariki na magharibi hatuwezi kufungamana.
Kama wewe sio ccm mbona hukemei ccm kuingilia tasnia ya michezo?

Bango la mamá unalo hadi kwa device yako unakenua meno tu et Mama anapiga kazini 😂😂😂

Wewe ni wale wale tu wa bendera kufuata upepo.
 
Walio karibu na wachezaji wa Yanga, waliotwa timu ya taifa inabidi wastuliwe kuwa siku mbili zijazo kuna wana mechi ya muhimu sana na wao ni miongoni wachezaji muhimu hivyo wasitumie nguvu nyingi hao Morocco walishindikana kwa Ureno na Uhispania na wakwepe kukaa na mipira na mipira ya 50 kwa 50.
 
Kama wewe sio ccm mbona hukemei ccm kuingilia tasnia ya michezo?

Bango la mamá unalo hadi kwa device yako unakenua meno tu et Mama anapiga kazini [emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe ni wale wale tu wa bendera kufuata upepo.
Umeniamulia,sina bango lolote wala Nini.
 
Walio karibu na wachezaji wa Yanga, waliotwa timu ya taifa inabidi wastuliwe kuwa siku mbili zijazo kuna wana mechi ya muhimu sana na wao ni miongoni wachezaji muhimu hivyo wasitumie nguvu nyingi hao Morocco walishindikana kwa Ureno na Uhispania na wakwepe kukaa na mipira na mipira ya 50 kwa 50.
Ushauri wako mzuri
Tutauzingatia
 
Back
Top Bottom