FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Wanasemaga too much is harmful, ndivyo ilivyo kwa ushiriki wa mama ktk michezo.

Mwanzoni ilikuwa nzuri, kwa kuonekana mama anapenda michezo na anatoa support.

Ila sasa hivi limekaa kisiasa zaidi, halivutii tena!
Nimekuja kugundua kweli wanawake hawapendani?
 
JEZI YA TIMU YA TAIFA NDIO HII. HIZO NYINGINE SISIZO NA BENDERA YA TAIFA WALA NENO TANZANIA 🇹🇿 SIZITAMBUI
Screenshot_2023-11-20-15-26-18-28_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Walio karibu na wachezaji wa Yanga, waliotwa timu ya taifa inabidi wastuliwe kuwa siku mbili zijazo kuna wana mechi ya muhimu sana na wao ni miongoni wachezaji muhimu hivyo wasitumie nguvu nyingi hao Morocco walishindikana kwa Ureno na Uhispania na wakwepe kukaa na mipira na mipira ya 50 kwa 50.
Mwanayanga acha woga

Mpira ni mpira watu waache kupigania taifa kisa club😂🤣
 
Back
Top Bottom