SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Cha kushangaza, channel yoyote ingeweza kuwa na program za uchambuzi wa mechi hata kama hawataonyesha mechi yenyewe ila kwa kuwa bongo zetu zimelala ndo hivyo tenaDuh!! Kungekuwepo na channel ya Taifa ya michezo Sasa hivi tungekuwa tunapata uchambuzi au replay za michezo ya karibuni ya timu hizi LAKINI TUMELETWA HUKU ZBC2 TUNALISHWA QASWIDA NA HISTORIA YA MTUME