FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023
Walio karibu na wachezaji wa Yanga, waliotwa timu ya taifa inabidi wastuliwe kuwa siku mbili zijazo kuna wana mechi ya muhimu sana na wao ni miongoni wachezaji muhimu hivyo wasitumie nguvu nyingi hao Morocco walishindikana kwa Ureno na Uhispania na wakwepe kukaa na mipira na mipira ya 50 kwa 50.
Dunia nzima sio yanga tu team zote zina mechi weekend na wachezaji wako kimataifa acha kulalamika kipumbavu
 
Mimi hapa sio fan wa CCM lakini nipo na Taifa Stars,kila la heri.Mama anajijua kwenye sanduku la kura kushinda 2025 ni ngumu.Kwa hiyo anatumia kile njia kujipigia kampeni .Hilo kwa mwanasiasa yeyote wa Afrika angefanya hivyo!
 
Leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco

1700587308015.png
 
Duh!! Kungekuwepo na channel ya Taifa ya michezo Sasa hivi tungekuwa tunapata uchambuzi au replay za michezo ya karibuni ya timu hizi LAKINI TUMELETWA HUKU ZBC2 TUNALISHWA QASWIDA NA HISTORIA YA MTUME
 
Toka uwanja uwekwe taa mpya...naona majaribio yameanza...mara paaap umeme umekatika
 
Sasa wana spoti tunaweza kuchangia thread hii iliyo ya kimchezo kabisa.
 
Duh!! Kungekuwepo na channel ya Taifa ya michezo Sasa hivi tungekuwa tunapata uchambuzi au replay za michezo ya karibuni ya timu hizi LAKINI TUMELETWA HUKU ZBC2 TUNALISHWA QASWIDA NA HISTORIA YA MTUME
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom