Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Ndo yeye si vijana wa kampeni wa mamaMbona kama namuona Harmonize uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo yeye si vijana wa kampeni wa mamaMbona kama namuona Harmonize uwanjani
Kwahiyo umebaki ukuta wa yanga pale nyuma?Miroshi amekula umeme hapa
Mnalo leo 😂😂😂Kipindi cha pili namfunga huyu mwarabu
🤣🤣🤣🤣🪑Kichapo kinakwenda kuongezeka🤣
Bora red haijaenda kwenye ukuta wa Yanga ili baadaye kusiwe na excusenova kauganishwa kwa grid
Mnalo leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie awaite na polisi wakasaidie kukaba magoli yasiingie 😂😂😂Luka tutamtwangia kwenye nyuzi zake, hawezi kuja hapa 😂😂
Inaonyeshwa Wapi Hiyo MzeeNiko na mzambia anamlalamikia Chama anacheza kama "slow motion". Tunaitazama game ya Niger na Zambia. Zambia ashapasuka 2 half time. Kibonde wa Taifa stars anamkamua mzambia barabara.
Kwa hiyo Hamas ni puppet wa Israel sivyo?Niliyasikilza yale maelezo kidogo tu kwa sababu I am tired of these conspiracy theories.( Having read so many of them).
Lakini ndio alivyosema,na sijaona yale maneno yamekanushwa even though the video went viral.
Nitaulizwa sasa what am I talking about.
Ni kwamba Waisraeli walitaka kushambuliwa,wakafadhili mashambulizi ya Hamas,zile parachute landings and everything,ili wapate kisingizio Cha kuishambulia. The idea was to make the Arab nations to nibble on the bait.