Wasiwasi umetanda kidogo hapa.

Hawa straiker wetu inaonekana ni nyumu sana kuvuka hii safu ya Morocco
 
Mpaka dk 20 hatuja pasuka kweli tunatimu Bora, mwarabu akifanya mchezo tunampasua... possession hiyoo inanipa Amani.
 
Tz tunafeli yani full back pass , mid hakuna wachezaji ,
Huu mchezo tunaocheza had sasa ni mzr kwa kujilinda tu lkn tukipigwa chuma 1.

Hapo ss ndo itakua kasheshe maana itatubid tubadilishe game plan na tukibadilisha hapo ndo inaweza kua tatz kwetu.
 
Cooling break

Hakimi bado haamini kuwa yule ni Mohamed Husseni
 
Kwa hiyo jamani huyu Himid Mao ndio ana miaka 28? πŸ˜„ πŸ˜„
 
under 2.5 guys wangu wa betts[emoji4], note this
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…