MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Huyu Manula ni tataka 🚮🚮🚮
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibi unaangallia kupitia kingamuz kipiTaifa Stars wapo vizuri sana.
Pressing toka mbele ni nzuri tukiwa na mpira, lakini ni mbaya sana tukiupoteza mpira, jamaa wakipiga counter attack yatatukuta makubwa...Kila na Kheri taifa stars. Ila sipendi hii game tactics ya huyu coach. Yaani tu defend in numbers ...tunawapa respect sana wamorocco. Tujifunze pressing toka mbele ....tukifanya hivyo naona wataanza kufanya makosa. Vinginevyo ni muda tu tunaweza kupigwa bao.
Angefanyaje Mkuu? Kapotea maboya akajirekebisha kumbe kamwagia ndani.Manula
Sahih kbsa mchambuz mwandamizWanasubiria pass za kaunta ataki na ndio hapo naposema itakuwa ni ngumu kwa safu ya mbele kuwa na tachi nyingi kwasababu mipira mingi inaishia kati
Tuanze kuhesabu au?Kazi imeanza
Sijaona kosa PaleHuyu Manula ni tataka 🚮🚮🚮