FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Sisi leo ndio wa mfano kwa timu za waarabu..ni kipigo day narudia
Na munao angalia huu mpira mpaka mwisho muna moyo wa ki hamas
 
Kila na Kheri taifa stars. Ila sipendi hii game tactics ya huyu coach. Yaani tu defend in numbers ...tunawapa respect sana wamorocco. Tujifunze pressing toka mbele ....tukifanya hivyo naona wataanza kufanya makosa. Vinginevyo ni muda tu tunaweza kupigwa bao.
Pressing toka mbele ni nzuri tukiwa na mpira, lakini ni mbaya sana tukiupoteza mpira, jamaa wakipiga counter attack yatatukuta makubwa...

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Ivi hii timu wachezaji wanaitwa kutoka wapi ,mbona kama sio vipaji ,kama wameokotwa huko, hawajiongezi,
 
Wanasubiria pass za kaunta ataki na ndio hapo naposema itakuwa ni ngumu kwa safu ya mbele kuwa na tachi nyingi kwasababu mipira mingi inaishia kati
Sahih kbsa mchambuz mwandamiz
 
Leo mbna tutapigwa nyingiiii mnooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom