FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Nawakumbusha tu hata Afcon iliyopita tuliyoshiriki Manula kuna mechi alichomesha kwa kupanchia ndani na baada ya kutolewa tu tulisema tutajipanga.
 
Hapa nawacheki wanangu Kabisa homeboy congo drc Hawa wanangu hawaniangushi
 
Asanteni Morocco kwa kutuheshimisha. Hakika hizi ni juhudi za serikali ya awamu ya 6 katika kuinua mchezo wa mpira wa miguu nchini. Nariport kutoka hapa Kizimkazi
@Lucas mwashambwa anaanda uzi huko wa kusifia Timu ya Taifa ya mama Samia.
 
sasa kama ana umuhimu huo mkubwa kwa watanzania na hasa kwa timu yetu ya taifa stars kwanini pale kocha wetu mkuu mpuuzi alipomtoa mbwana ally samata hakumuingiza bongo zozo ili akatukombolee watanzania / taifa stars yetu zile goli tatu nzuri na takatifu?
 
Back
Top Bottom