Kabisa.Bata na anapenda ku flex.
Na hii ndio maana left backs zinamuwekea mikakati mikali ya kumdhibiti kwasababu wanajua akiwasumbua atatamba.
Mfano mechi ya PSG alikuja na mkwara "PSG I've come"
Watu wakamfungia booster mechi ikaisha wakiwa wamepoteza.
Of course sitaki dogo abebeshwe lawama ambazo zinaweza kumuathiri kisaikolojia akakosa kujiamini ila uongozi ujitahidi kumsaidia dogo apunguze baadhi ya mambo unnecessary
Kinachonifurahisha ni kwamba tukiwakamata huwa tunawatandika magoli mengi sana 😂Waache jamaa zetu nao wainojoi kwa kutufunga.
Misimu miwili hapo nyuma tumewaonea onea sana.
Kwa kweli tungeshinda sisi uzi ungekuwa mfupi tu si unajua sisi kumfunga Madrid sio habari tena habari ni wao kutufunga sisi.
Ila tambeni tu, najua siku nyingine tukikutana Uzi utaishia page ya pili, maana tutawaharakisha magoli hadi mzime simu zenu.Na hii comment yako ni sehemu ya kuufanya uwe mrefu.
Sasa ili usiendelee kushiriki kuufanya uwe mrefu, jiepushe kuijibu hii comment.
Kabisa jamaa wakijaaga kwenye mifumo yetu tunawatandika goli za kutosha.Kinachonifurahisha ni kwamba tukiwakamata huwa tunawatandika magoli mengi sana 😂
Wao wakitufunga ni gili mbili au Moja.
Ile Galácticos yao ya awamu ya pili ilikuwa inachapwa bila huruma na akina Messi, walichapika 6 wakachapika tena 5 😂Kabisa jamaa wakijaaga kwenye mifumo yetu tunawatandika goli za kutosha.
Tofauti na wao margin ni ndogo sana.
Hata ukitufunga nyingi bado utaambulia point 3 tu.Kinachonifurahisha ni kwamba tukiwakamata huwa tunawatandika magoli mengi sana 😂
Wao wakitufunga ni gili mbili au Moja.
Huyu paka nilisema kitambo ni tapeli ila hamkunielewa.Big pussy a.k.a paka shume
View attachment 3698578
Beki ya Real Madrid imeboreka sana tafauti na misimu miwili iliyopita
Za Wachezaji wakubwapamefanyika sajili nyingi
Mkuu nakukubali sana kwenye haya makitu,halafu naona tunashea vitu vingi sana kwenye ushabiki,big up mkuuNa hii comment yako ni sehemu ya kuufanya uwe mrefu.
Sasa ili usiendelee kushiriki kuufanya uwe mrefu, jiepushe kuijibu hii comment.
Madrid kacheza vizuri, Barcelona kiwango kimeshuka Lamal hakuna alichokuwa anafanya,Kama kweli wewe ni shabiki wa madrid basi unajua sana mpira kuliko wenzio wengi wanaotumia hisia.
Mda mwingine unaweza kuwa na timu bora na bado ukafungwa.
Kuna siku zinakuwa mbaya tu kazini.
Leo Barcelona tumefungwa kwa sababu ya siku mbaya tu kazini lakini madrid ana timu unga inayohitaji marekebisho maeneo mengi sana.
Timu yenu inapoteza sana mipira haiwezi kucheza under pressure haiwezi kukaa na mpira hata dakika moja bado mna kazi kubwa.
Ila wenzio kwa vile wameshinda wanaona wamekamilika.
Acha tuache mwisho wa msimu tutajua nani ana timu nzuri nani mbovu.
Madrid kacheza vizuri, Barcelona kiwango kimeshuka Lamal hakuna alichokuwa anafanya,
Haya bwana!Hata ukitufunga nyingi bado utaambulia point 3 tu.
Rodri ni uchochoro mzuri sana wa kupitisha mipira.
Wenzako wanamlaumu yeye wanahisi kaja na gundu kwasababu akiwa Man City hajawahi kuifunga Madrid.
Usishangae sana.Haya bwana!