Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Watambe hanga zao, hanga zetu hawatambi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watambe hanga zao, hanga zetu hawatambi.
Kwahiyo unahisi utamfunga mamelodi pale Pretoria?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Al-Ahly wishes you a good nightالاهلي يتمنى لكم ليلة سعيدة
Tulia tulia Melody ashaaga mashindano hivii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mwenyeji kwako umeshindwa kumpiga adui, ndo ukampige nyumbani kwake?
Kwahiyo mlikua mnajilinda vile, ili bao la ugenini lisipatikane mkashinde kule south? Woiiiiiiii
Mmeanza kubadili kauliWasijisahau tu na matayarisho ya kucheza dakika 120 kwenye jua la saa 9 huku baadhi ya wachezaji wakiwa kwenye swaumu, mazoezi ya penalti na na fitina ya kukosa visa kwa baadhi ya wachezaji kama alivyofanyiwa MAYELE.
Nakukumbusha tu kwenye hatua ya mtoano Msimu uliopita Yanga kwa Mkapa alitoa sare ya 0 - 0 dhidi ya Club africain ya Tunisia. Na maneno yalikuwa kama haya mnayoongea ila mechi ya marudiano wakafungiwa huko huko kwao Tunisia goli moja. Tuupe heshima mpira wa miguu sio mchezo wa kutabirika kirahisi midomoni. Wiki mbili nzima mlimwaga maneno Yanga atafungwa nyingi na kikosi kilipotoka cha Yanga wakaonekana wakina Mkude ndio kabisa furaha zilikuwa nyingi kuwa Yanga watayaoga leo. Kiko wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mwenyeji kwako umeshindwa kumpiga adui, ndo ukampige nyumbani kwake?
Kwahiyo mlikua mnajilinda vile, ili bao la ugenini lisipatikane mkashinde kule south? Woiiiiiiii
Ni kweli ndio maana mkashinda mechiBora sisi Al Ahly hakutudharau kama hivi
Muda bado hauja fika?Sisi tuliomuacha unadhani hiyo mipira yake mirefu hatukuiona?
Ngoja tu muda utimie mtasema yote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ndo utuliee,Tulia tulia Melody ashaaga mashindano hivii
Hebu kaa kwa passcode ujue Cairo mnaenda kutimiza mzunguko mrudi NBC😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ndo utuliee,
Km wee unaweza kushinda south ugenini, bas na yeye anaweza kushinda pale kwake. Na uzuri huku ugenini kazuia kufungwa, usilete hoja ya bao la ugenini.Nakukumbusha tu kwenye hatua ya mtoano Msimu uliopita Yanga kwa Mkapa alitoa sare ya 0 - 0 dhidi ya Club africain ya Tunisia. Na maneno yalikuwa kama haya mnayoongea ila mechi ya marudiano wakafungiwa huko huko kwao Tunisia goli moja. Tuupe heshima mpira wa miguu sio mchezo wa kutabirika kirahisi midomoni. Wiki mbili nzima mlimwaga maneno Yanga atafungwa nyingi na kikosi kilipotoka cha Yanga wakaonekana wakina Mkude ndio kabisa furaha zilikuwa nyingi kuwa Yanga watayaoga leo. Kiko wapi?
Wee ndo ukae kwa nywilaaa, huko Pretoria utaenda kukabizi ticket watu wachape mwendo semiiii final.Hebu kaa kwa passcode ujue Cairo mnaenda kutimiza mzunguko mrudi NBC[emoji23]
Tutaishangaza dunia, we tuliaa😂Wee ndo ukae kwa nywilaaa, huko Pretoria utaenda kukabizi ticket watu wachape mwendo semiiii final.
NBC hakuepukikii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda Dunia ya Avic Town kibonde majii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutaishangza dunia, we tuliaa[emoji23]
Ndio maana huko juu nikakwambia hadi sasa mechi ipo 50 - 50 kuelekea mechi ya marudiano. Kila timu ina nafasi kufuzu ila wewe unalazimisha ionekane Yanga ndio kaaga mashindano wakati mechi imeisha suluhu. Ili Mamelod afuzu ni lazima apate goli na Yanga nae ili afuzu ni lazima apate goli. Sare yeyote ya magoli yatambeba Yanga, ushindi wowote ule kwa Mamelod utambeba Mamelod.Km wee unaweza kushinda south ugenini, bas na yeye anaweza kushinda pale kwake. Na uzuri huku ugenini kazuia kufungwa, usilete hoja ya bao la ugenini.
Sidhani km match itaamuliwa kwa mtindo huo.
Taco laco😂Labda Dunia ya Avic Town kibonde majii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unabishana na wasiojua mpira tu hapo. Huyo hakuna anachojua.Ndio maana huko juu nikakwambia hadi sasa mechi ipo 50 - 50 kuelekea mechi ya marudiano. Kila timu ina nafasi kufuzu ila wewe unalazimisha ionekane Yanga ndio kaaga mashindano wakati mechi imeisha suluhu. Ili Mamelod afuzu ni lazima apate goli na Yanga nae ili afuzu ni lazima apate goli. Sare yeyote ya magoli yatambeba Yanga, ushindi wowote ule kwa Mamelod utambeba Mamelod.
🤣🤣🤣🤣 mdogo wakeAisee we mwanamke😂😂😂.
Au dada ye na Evelynsalt?