FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Watambe hanga zao, hanga zetu hawatambi.
FB_IMG_1711865085983.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mwenyeji kwako umeshindwa kumpiga adui, ndo ukampige nyumbani kwake?

Kwahiyo mlikua mnajilinda vile, ili bao la ugenini lisipatikane mkashinde kule south? Woiiiiiiii
Nakukumbusha tu kwenye hatua ya mtoano Msimu uliopita Yanga kwa Mkapa alitoa sare ya 0 - 0 dhidi ya Club africain ya Tunisia. Na maneno yalikuwa kama haya mnayoongea ila mechi ya marudiano wakafungiwa huko huko kwao Tunisia goli moja. Tuupe heshima mpira wa miguu sio mchezo wa kutabirika kirahisi midomoni. Wiki mbili nzima mlimwaga maneno Yanga atafungwa nyingi na kikosi kilipotoka cha Yanga wakaonekana wakina Mkude ndio kabisa furaha zilikuwa nyingi kuwa Yanga watayaoga leo. Kiko wapi?
 
Km wee unaweza kushinda south ugenini, bas na yeye anaweza kushinda pale kwake. Na uzuri huku ugenini kazuia kufungwa, usilete hoja ya bao la ugenini.

Sidhani km match itaamuliwa kwa mtindo huo.
 
Hebu kaa kwa passcode ujue Cairo mnaenda kutimiza mzunguko mrudi NBC[emoji23]
Wee ndo ukae kwa nywilaaa, huko Pretoria utaenda kukabizi ticket watu wachape mwendo semiiii final.

NBC hakuepukikii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tutaishangaza dunia, we tuliaa😂
 
Km wee unaweza kushinda south ugenini, bas na yeye anaweza kushinda pale kwake. Na uzuri huku ugenini kazuia kufungwa, usilete hoja ya bao la ugenini.

Sidhani km match itaamuliwa kwa mtindo huo.
Ndio maana huko juu nikakwambia hadi sasa mechi ipo 50 - 50 kuelekea mechi ya marudiano. Kila timu ina nafasi kufuzu ila wewe unalazimisha ionekane Yanga ndio kaaga mashindano wakati mechi imeisha suluhu. Ili Mamelod afuzu ni lazima apate goli na Yanga nae ili afuzu ni lazima apate goli. Sare yeyote ya magoli yatambeba Yanga, ushindi wowote ule kwa Mamelod utambeba Mamelod.
 
Unabishana na wasiojua mpira tu hapo. Huyo hakuna anachojua.
 
Back
Top Bottom