FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

FT | Yanga SC 2-0 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 27.10.2023

Hizo ni hisia zako tu, lakini naziheshimu pia.
Singida huwa hatoboi kwa Yanga sio mambo ya hisia ni uhalisia. Kaza yake ni droo.
Screenshot_20231027-203436_Chrome.jpg
 
Niambie kafanya kipi kipya
kwenye mpira hakuna jipya bro kila wanachofanya wachezaji ni marudio tu ya waliofanya waliowahi kucheza kabla yao, anachosifiwa mchezaji ni kucheza vizuri tu na skudu kwa dk alizocheza ametoa performance nzuri ukiachia mbali kuwalambisha watu nyasi hajapoteza pasi hata moja na ametengenez nafasi, ww unasemaje?
 
Back
Top Bottom