Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Kitu ambacho naona watu hawakizungumzii ni ujasiri wa Nancy Pelosi, yaani pamoja na kuwa marine na air defence systems ziko standby kwa attack, bibie kakwea pipa bila hofu!! Interesting...
Bila shaka hicho kibibi hakipo kwenye hiyo ndege.
Too risky.
 
Kitu ambacho naona watu hawakizungumzii ni ujasiri wa Nancy Pelosi, yaani pamoja na kuwa marine na air defence systems ziko standby kwa attack, bibie kakwea pipa bila hofu!! Interesting...
Huyu mbibi keshajikatia tamaa ya maisha,
Sema sio mbaya, miaka 82 hata Kama ningekua Mimi. Sio mbaya nikifa kishujaa[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna wa kumtikisa huyu mwanaume. Jamaa ni mwamba haswa, kuanguka kwake sio leo wala kesho, na sio kuangushwa na hawa watu uchwara akina China na Putin.
 
Kitu ambacho naona watu hawakizungumzii ni ujasiri wa Nancy Pelosi, yaani pamoja na kuwa marine na air defence systems ziko standby kwa attack, bibie kakwea pipa bila hofu!! Interesting...
Wasiwasi wa nini wakati anajua Taifa lake ni kubwa kiulinzi, kiteknologia na kiuchumi.
😆😆

Vitu kama hivi vipo planned long time ago
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…