Ndio nimeshudia hao watalaamu na mwamuzi wa kati wote wanatokea nchi moja ya Misri. Kuona mpira kama umeugusa mkono unahitaji utalamu upi? Ni vitu vimeoneshwa wazi kabisa.Pole sana, VAR doesnt lie mkuu. Kuna wataalam wapo behind wanahakikisha haki inatolewa
Tumetinga na hutunywi supu ya vibudu😁Mamluki ya GSM yaliyojazana humu JF yameshakimbia🤪🤪
Ni kweli, ndo tunaenda penati hapa.HAKUKUWA NA OFFSIDE PALE! SEMA ALIYESHIKA MPINI AHESHIMIWE!
Huyu ndio refa sasa. Anatumia mtaala wa Cambridge kuchezesha soka.Ukisikia ubaya ubwela ndo huu.....No penalty for Simba
Offside kwa kina Stelaa atwaaa
Tupongeze tu Dear wangu🤣Nitarudi baadaye kushangilia 🤗
🦁🦁🦁🦁Simba 🦁SimbaBora Muungano kuliko takataka za shirikisho
Kombe la akina mama
Iwe Kwa bahati iwe kimkakati vyovyote vile tunalitaka kombe safari hiiNajaribu kuongea bila kuweka ushabiki. Mkicheza na Constantine ubingwa mnachukua ila hawa Berkane ni bahati pekee itawabeba. Timu yenu ina makosa mengi sana kule nyuma.
Sawa shabiki maandaziWewe ukizeeka utapaa na ungo kabisa sio kwa roho ya husda km hyo
Kwahiyo mkuu unaumia Simba kucheza na mama yako?Bora Muungano kuliko takataka za shirikisho
Kombe la akina mama
Japo Simba damu, leo "Mzee wa Kupambania" umeongea point....Hii approach mbovu sana
Kilichobaki ni simba kushinda game ya nyumbani ila kuhusu ubingwa tuwe wakeli hatuwezi wale jamaa wana pace na skills hata leo Constantine anaweza nyukwa tenaNasikia huyu jamaa alipigwa 7 bila na Berkane kwenye makundi. Kazi haijaisha. Ngoja tushangilie kwanz.
Pambaneni, hapa nashindwa hadi kula.Iwe Kwa bahati iwe kimkakati vyovyote vile tunalitaka kombe safari hii
Simba ataanzia away kuna asilimia kubwa Fadlu mpango kazi utakuwa kama wa leo refer mechi ya leo na ile ya Al Ahl TripoliInabidi mechi ya kwanza ni kusaka goli la ugenini
Kichaka cha Uto kimefyekwa