FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

CAFCC alicheza Yanga zilikuwepo timu bingwa
Ila hii UMISETA hakuna bingwa hata wa Somalia
Mabingwa walioshindwa mitihani ya darasa la saba waka resit darasa la sita.πŸ˜†

Mabingwa halisi hawakuishia makundi bali waliendelea hadi robo, nusu na fainali.

Msimu huu CAF wakasema utaratibu wa timu ku resit haupo ukifeli mitihani yako unarudi nyumbani ndiyo maana leo mpo Zanzibar mnacheza nusu fainali ya Muungano na kina JKUπŸ˜†
 
Baada ya mpira kuisha humu ndani mambo yatakuwa kama hivi:

Nyuzi nyingi zitaanzishwa za kukosoa, makasiriko.
Kuna mashabiki wa timu fulani, watautelekeza uzi.

#magolimawiliyapohewani#
...🀣🀣🀣
 
Sasa ulitaka Yanga bingwa acheze vip shirikisho, mashindano ya timu dhaifu kama 5imba na Coast union
 
Timu kubwa hazichezi shirikisho
Timu ndogo ndo zipo UMISETA
Unaitoa marumo anayeshika daraja na rivers aliyejifia unajiona Bora ,unashindwa kupata goli moja dhidi ya mc alger ,huyu ni mnyama kwenye mechi za namna hiyo tunajua kuzicheza ,ukikutana na mc alger waulize wangekuwa wanacheza na Simba atmosphere inakuwaje .
 
Inge, inge, inge. Ni nyimbo nzuri mkuu.
shida hizi comments mnazisoma mkihisi tunaandika kwa chuki. Huu ndio uhalisia Stellen hawakua makini kutumia nadasi zao vizuri. Ukikutana na timu more advanced inakuadhibu kwa zile nafasi mlizokua mnaachia.
 
Tumetumia mbinu yenu ya bahasha mnayoitumia ligi kuu ...imetupeleka fainali...Sasa mtaongea nini mbwa nyie mlikua mnaongea Hadi mnatema mate kua mna medali ya CAF...sasahivi mnakuja na lipi?
Acha kufikiri kupitia upumbavu inamaana ukoo wenu wote ni Makolokolo piwa?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mbona mlipigwa na jwaneng?
Hii ni football
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…