MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,174
Lawama zake alizota waziwazi ni kwa sababu ya Uongo sio kupigwa chini na CC ( Inawezekana ni motive yake ni kwa vile alipigwa chini, ila anayejua ni yeye mwenyewe, sisi hata tukiiongelea itakuwa hisia tuu)Gwajima alishindwa kura za maoni ila akarudishwa na CC ya Chama hivyo alitakiwa kuolaumu CC ya chama sio Gwajima.
Kwani aliyemkosesha ubunge huyu dogo ni Gwajima au mjombake?Duuh kukosa ubunge kunauma sana.
Kwani yeye ni nani??Huu mfupa unaopambana nao umeushinda mhimili mmoja wa serikali ya JMT, wewe utauweza kweli?
Kondoo wa Gwajiboy ktk ubora wako.Acha uongo kanisani kwa Gwajima hakuna kitu kinaitwa kutoa ushuhuda uwe unafanya uchunguzi kabla ya kuja kuongopa hapa
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.
Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana, amedanganya kufufua watu. Amedanganya kuleta train za umeme n.k. n.k.
Ila kwa jinsi tunavyomjua Gwajima, huyu dogo ajiandae kwa majibu yake Jumapili.
NB. Kuna mambo ambayo Dogo amezungumzia kuhusu Kupe ambayo siyo rahisi kuyazungumza mbele ya wanafamilia. Pia sidhani kama Dogo alikuwa anaishi Magogoni.
Sukuma gang makao makuu yake iko wapi?Nyie timu Sukuma Gang tunawafahamu sana njama zenu za kutaka kumkwamisha mama asifanikiwe kuwaletea watanzania maendeleo endelevu. Mungu anawaona. Stress zenu za 2025 hazitawaacha salama.
Ebu wewe isome heading yako..Mkuu wapi nimeandika kuwa Furaha kadai kuwa Gwajima ni Kiongozi wa Sukuma Gang ...!!?
Rudia kusoma heading na post zangu zote. Hiyo uliyoniquote haina hicho unachokisema. Naona mode kabadili heading au kaunganisha thread yangu na ya mwingine. Thread yangu ilikuwa inasema "Furaha Dominic amchanachana Gwajima. Adai ni Muongo na Mnafiki.
Nchi hii kila MTU akiongea vitu vya ukweli au vinafanana na ukweli na akawa anajiamini wakati anaongea basi watu watasema huyo ni kitengo !! Huwa najiuliza ni kwanini huwa hivyo,, ni nidhamu ya uoga au nini ??!gwajima ni TISS .niliambiwaga pale kijiweni
Mkuu, hiyo hazikuwa heading yangu. Admin watakuwa wameibadilidha au wameiunganisha na thread nyingine.Ebu wewe isome heading yako..
Inasomeka hivi
*FURAHA DOMINIC AMTAJA,GWAJIMA NDIE KIONGOZI WA KUNDI LINALOMKWAMISHA RAIS.
Lakini kwenye mazungumzo yake Furaha hakuna mahali katamka hivyo.
Ndio maana nimesema umemlisha maneno asiyoyatamka kwa kinywa chake.
Ahsante kwa kunisoma pia ni vema kuwekana sawa brother.
Hata mimi chuo walinisema eti ni TISS kumbe hata sijawahi kuwa mgambo. Eti kisa tu nilikuwa sisomeki someki nikawa nawachora naenjoy tu.Hii nchi ngumu.
Kila mtu ni TISS.
Hata kazini mimi wananisema ni TISS nisipokuwepo.
Hata wewe pia kuna watu wanakusema ni mwana kitengo
Yule alikatwa kimchongo ilj baadae akipewa cheo kikubwa watu wakose kuongea, shida ilikuja, Anko wake akafarikiFuraha Dominic ndio kale kachalii kalicholiwa kichwa kugombe ubunge Kawe?
Wote!Kwani aliyemkosesha ubunge huyu dogo ni Gwajima au mjombake?
Hata kama mimi ni Ccm ila Gwaji kwenye siasa akae pembeni kwani zinamchinganisha na Mungu!Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.
Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana, amedanganya kufufua watu. Amedanganya kuleta train za umeme n.k. n.k.
Ila kwa jinsi tunavyomjua Gwajima, huyu dogo ajiandae kwa majibu yake Jumapili.
NB. Kuna mambo ambayo Dogo amezungumzia kuhusu Kupe ambayo siyo rahisi kuyazungumza mbele ya wanafamilia. Pia sidhani kama Dogo alikuwa anaishi Magogoni.
kwani magogoni kuna familia zinaishi magogoni....naomba uelewa kidogoKwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.
Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana, amedanganya kufufua watu. Amedanganya kuleta train za umeme n.k. n.k.
Ila kwa jinsi tunavyomjua Gwajima, huyu dogo ajiandae kwa majibu yake Jumapili.
NB. Kuna mambo ambayo Dogo amezungumzia kuhusu Kupe ambayo siyo rahisi kuyazungumza mbele ya wanafamilia. Pia sidhani kama Dogo alikuwa anaishi Magogoni.
MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka BirminghamKwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.
Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana, amedanganya kufufua watu. Amedanganya kuleta train za umeme n.k. n.k.
Ila kwa jinsi tunavyomjua Gwajima, huyu dogo ajiandae kwa majibu yake Jumapili.
NB. Kuna mambo ambayo Dogo amezungumzia kuhusu Kupe ambayo siyo rahisi kuyazungumza mbele ya wanafamilia. Pia sidhani kama Dogo alikuwa anaishi Magogoni.
Kwanikwani magogoni kuna familia zinaishi magogoni....naomba uelewa kidogo
Mkuu, Rais na familia yake wanaishi Magogoni. Bado kuna Makamu, Katibu Mkuu...!!kwani magogoni kuna familia zinaishi magogoni....naomba uelewa kidogo
Samahani lqkini kiukweli cjakuelewa anko wako mjanja mjanja alifufuliwa na gwaji what do you meanAisee,uncle wangu mmoja mjanja mjanja hivi,wa kike,nilimshuhudia kwa macho yangu akifufuliwa na gwajima mkoa mmoja wa jirani,ukiniuliza alikufa lini utakuwa unanionea tu! Ila hajawahi kufa! Nikajisemea kimoyomoyo kumbe hawa ndiyo maiti anaowafufua huyu mtume?
Pia naona amechagua sehemu au mtu ambaye siyo levo yake ukizingatia gwaji siasa za kuchafuana huwa ndo anazipenda sana .... ningemshauri kama aliwez tulia kwa mda wote huo angendelea kutulia tu kuliko anavyo fanya sasaAnaongeackwa hasira za kukosa ubunge. Kinachomuuma watu kumdthibiti umbeya wake,na kumcontrol mzee.Pia anakiri mzee alikuwa ana kakikundi ka uhalifu ka kuteka teka!