Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

Gwajima alishindwa kura za maoni ila akarudishwa na CC ya Chama hivyo alitakiwa kuolaumu CC ya chama sio Gwajima.
Lawama zake alizota waziwazi ni kwa sababu ya Uongo sio kupigwa chini na CC ( Inawezekana ni motive yake ni kwa vile alipigwa chini, ila anayejua ni yeye mwenyewe, sisi hata tukiiongelea itakuwa hisia tuu)

Kwamba Gwajima ni Muongo, alitoa ahadi kadha wa kadha, kama Treni ya umeme na akasema kuna vichwa vinakuja, akatoa ahadi ya kupeleka watu Birmingham etc.

Nadhani tukijikita hapo itakuwa vyema kuliko kuhusisha vitu ambavyo hata sisi hatuna baseline zaidi ya hisia zetu.
 
Mh. Rais wetu, Rais wangu, kuwa makini sana na huyo Gwajima, huyo ni ndumi la kuwili, ndimi mbili, ikiwezekana 2025 fukuza kabisa CCM, kwanza hajawahi kuwa CCM huyo, ni JPM tu alimpigia debe sbb ni msukuma mwenzake, wala CCM huko kawe hawamtaki. Mtu mnafiki kupita shetani huyu.
 
Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.

Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana, amedanganya kufufua watu. Amedanganya kuleta train za umeme n.k. n.k.

Ila kwa jinsi tunavyomjua Gwajima, huyu dogo ajiandae kwa majibu yake Jumapili.

NB. Kuna mambo ambayo Dogo amezungumzia kuhusu Kupe ambayo siyo rahisi kuyazungumza mbele ya wanafamilia. Pia sidhani kama Dogo alikuwa anaishi Magogoni.

Hawa wasukuma hawa veep 😂😂😂😂😂
 
Nyie timu Sukuma Gang tunawafahamu sana njama zenu za kutaka kumkwamisha mama asifanikiwe kuwaletea watanzania maendeleo endelevu. Mungu anawaona. Stress zenu za 2025 hazitawaacha salama.
Sukuma gang makao makuu yake iko wapi?

Kwa hiyo pia Mbowe ni gaidi sio!

Tunajuaje kama amekuwa akiwatumia hawa Makomandoo kwa kipindi gani?

Na kwa matukio mangapi kabla ya kugundulika.?
 
Mkuu wapi nimeandika kuwa Furaha kadai kuwa Gwajima ni Kiongozi wa Sukuma Gang ...!!?

Rudia kusoma heading na post zangu zote. Hiyo uliyoniquote haina hicho unachokisema. Naona mode kabadili heading au kaunganisha thread yangu na ya mwingine. Thread yangu ilikuwa inasema "Furaha Dominic amchanachana Gwajima. Adai ni Muongo na Mnafiki.
Ebu wewe isome heading yako..
Inasomeka hivi

*FURAHA DOMINIC AMTAJA,GWAJIMA NDIE KIONGOZI WA KUNDI LINALOMKWAMISHA RAIS.

Lakini kwenye mazungumzo yake Furaha hakuna mahali katamka hivyo.
Ndio maana nimesema umemlisha maneno asiyoyatamka kwa kinywa chake.
Ahsante kwa kunisoma pia ni vema kuwekana sawa brother.
 
gwajima ni TISS .niliambiwaga pale kijiweni
Nchi hii kila MTU akiongea vitu vya ukweli au vinafanana na ukweli na akawa anajiamini wakati anaongea basi watu watasema huyo ni kitengo !! Huwa najiuliza ni kwanini huwa hivyo,, ni nidhamu ya uoga au nini ??!
 
Ebu wewe isome heading yako..
Inasomeka hivi

*FURAHA DOMINIC AMTAJA,GWAJIMA NDIE KIONGOZI WA KUNDI LINALOMKWAMISHA RAIS.

Lakini kwenye mazungumzo yake Furaha hakuna mahali katamka hivyo.
Ndio maana nimesema umemlisha maneno asiyoyatamka kwa kinywa chake.
Ahsante kwa kunisoma pia ni vema kuwekana sawa brother.
Mkuu, hiyo hazikuwa heading yangu. Admin watakuwa wameibadilidha au wameiunganisha na thread nyingine.

Heading yangu ilikuwa "Furaha Dominic Amchanachana Gwajima. Adai ni z uongo na mnafiki"
 
Hii nchi ngumu.
Kila mtu ni TISS.
Hata kazini mimi wananisema ni TISS nisipokuwepo.
Hata wewe pia kuna watu wanakusema ni mwana kitengo
Hata mimi chuo walinisema eti ni TISS kumbe hata sijawahi kuwa mgambo. Eti kisa tu nilikuwa sisomeki someki nikawa nawachora naenjoy tu.
 
Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.

Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana, amedanganya kufufua watu. Amedanganya kuleta train za umeme n.k. n.k.

Ila kwa jinsi tunavyomjua Gwajima, huyu dogo ajiandae kwa majibu yake Jumapili.

NB. Kuna mambo ambayo Dogo amezungumzia kuhusu Kupe ambayo siyo rahisi kuyazungumza mbele ya wanafamilia. Pia sidhani kama Dogo alikuwa anaishi Magogoni.
Hata kama mimi ni Ccm ila Gwaji kwenye siasa akae pembeni kwani zinamchinganisha na Mungu!
 
Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.

Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana, amedanganya kufufua watu. Amedanganya kuleta train za umeme n.k. n.k.

Ila kwa jinsi tunavyomjua Gwajima, huyu dogo ajiandae kwa majibu yake Jumapili.

NB. Kuna mambo ambayo Dogo amezungumzia kuhusu Kupe ambayo siyo rahisi kuyazungumza mbele ya wanafamilia. Pia sidhani kama Dogo alikuwa anaishi Magogoni.
kwani magogoni kuna familia zinaishi magogoni....naomba uelewa kidogo
 
Huyu alikataliwa na mjomba wake asimusingizie Gwajiboy.
Jomba alisema nileteeeeeeni Gwajima.
Nileteeeeeeni Gwajima,
NILETEENI GWAJIMA
 
Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.

Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana, amedanganya kufufua watu. Amedanganya kuleta train za umeme n.k. n.k.

Ila kwa jinsi tunavyomjua Gwajima, huyu dogo ajiandae kwa majibu yake Jumapili.

NB. Kuna mambo ambayo Dogo amezungumzia kuhusu Kupe ambayo siyo rahisi kuyazungumza mbele ya wanafamilia. Pia sidhani kama Dogo alikuwa anaishi Magogoni.
MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham
 
Aisee,uncle wangu mmoja mjanja mjanja hivi,wa kike,nilimshuhudia kwa macho yangu akifufuliwa na gwajima mkoa mmoja wa jirani,ukiniuliza alikufa lini utakuwa unanionea tu! Ila hajawahi kufa! Nikajisemea kimoyomoyo kumbe hawa ndiyo maiti anaowafufua huyu mtume?
Samahani lqkini kiukweli cjakuelewa anko wako mjanja mjanja alifufuliwa na gwaji what do you mean
 
Anaongeackwa hasira za kukosa ubunge. Kinachomuuma watu kumdthibiti umbeya wake,na kumcontrol mzee.Pia anakiri mzee alikuwa ana kakikundi ka uhalifu ka kuteka teka!
Pia naona amechagua sehemu au mtu ambaye siyo levo yake ukizingatia gwaji siasa za kuchafuana huwa ndo anazipenda sana .... ningemshauri kama aliwez tulia kwa mda wote huo angendelea kutulia tu kuliko anavyo fanya sasa
 
Back
Top Bottom