MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,174
Lawama zake alizota waziwazi ni kwa sababu ya Uongo sio kupigwa chini na CC ( Inawezekana ni motive yake ni kwa vile alipigwa chini, ila anayejua ni yeye mwenyewe, sisi hata tukiiongelea itakuwa hisia tuu)Gwajima alishindwa kura za maoni ila akarudishwa na CC ya Chama hivyo alitakiwa kuolaumu CC ya chama sio Gwajima.
Kwamba Gwajima ni Muongo, alitoa ahadi kadha wa kadha, kama Treni ya umeme na akasema kuna vichwa vinakuja, akatoa ahadi ya kupeleka watu Birmingham etc.
Nadhani tukijikita hapo itakuwa vyema kuliko kuhusisha vitu ambavyo hata sisi hatuna baseline zaidi ya hisia zetu.