Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

Kama tu marehemu Mobutu wa DRC !
 
Bora,tuombe huu upepo usifike Afrika ya Mashariki
 
Hao si watu...

Nisikilize ..

Wahuni wakiingia mitaani wanaanza kulawiti madada na makaka...si watu hao
Waasi ndio wanalawiti na kubaka lakini sio wanajeshi. Wewe unatisha watu ili waendelee kukiabudu chama chako kile cha hovyo. Watu wamejanjaruka sasa hivi hakuna tena mambo ya hovyo.
 
Mwingine yupo Zanzibar anatafuna pesa ya watanganyika kwa ujinga tu sherehe za kwao
 
Wewe mbwa maendeleo gani unayoongelea wewe ?
Una akili au umejaza kinyesi kwenye hilo bichwa ?
 
Huyu Ali baba yake Omar Bongo alikuwa Rais kwa miaka 42 mpaka akafa
Yaani majitu kama haya naona kupinduliwa ni haki au kufungwa au kuuwawa kabisa

Yapo matoto ya viongozi kwetu pia yanataka yatawale
Kupinduliwa kwake kutakomesha utawala wa familia yake iliyodumu kwa miaka 53 madarakani nchini Gabon.[emoji419][emoji375]
Naona tumeanza kujielewa waafrika
Ile ya arab spring na hii sijui tuitaje ila nafurahi kuona wanaong'ang'ania madaraka wakamate tu na kutaifishiwa mali zote
 
Haloo. Jogoo wa Mosco kawika Gabon?

Afrika inapitia kipindi cha mapinduzi na hii Hali siyo ya kawaida.

Mapinduzi yamefululiza sana.
Hayo mapinduzi ya kijeshi yanatakiwa sana hata hapa nchini. Kwa sasa viongozi wengi hasa wa CCM ikiwemo rais wanaingia madarakani bila ridhaa ya umma. Mifumo yote imechoka baada ya kubakwa na CCM.
 
"Kupinduliwa kwake kutakomesha utawala wa familia yake iliyodumu kwa miaka 53 madarakani nchini Gabon.."
Royal Families za kibongo na ccm wajifunze kupitia hili.
Ambacho hukijui ni kuwa,aliempindua ni Binamu yake. Anaitwa Brice Oligui Nguema.Na Ali alimwambia Brice amuandae Valentin Bongo aje kuwa Rais.Valentin Bongo ni mtoto wa Ali Bongo.
Naona Brice kaamua yeye mwenyewe awe Rais.Ndo alikuwa mkuu wa ulinzi wa Rais.
 
Very good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…