Mabeberu wana play part kubwa kwa kuwachochea hao puppets kuendelea kukaa madarakani na kufanya ubadhirifu na uongozi mbovu , ni wanafiki sana .
Huu ni mwanzo mzuri .
Nchi zote ambazo wana masilahi yao mfano Gabon ,Angola ,Nigeria ,Guinea ,Niger NK hizo nchi wananchi wametopea kwenye umasikini wa kutupwa wakati nchi zinazalisha resources zenye thamani kubwa duniani na zinazoendesha uchumi wa dunia mfano Uranium ,Mafuta ,madini nk ,kiongozi hata awe mbovu vipi kwenye hizo nchi huwezi ona wanatoa presha ya kwamba ang'oke .
Mugabe alikuwa ovyo,hiyo nakubali lakini ,muone pia na unafiki wa nchi za magharibi , wao masilahi yao mbele ndio wanatanguliza ,mmeona wafaransa walivyong'ang'ania hapo Niger mpaka sasa ,na Marekani ,France nk wanauwekezaji kwenye resources za madini na mafuta kwenye hizo nchi mpaka sasa ,tumeona Angola yule Dos Santos alivyokuwa gaidi kipindi cha uongozi wake na ubadhirifu wake wa mapato ya serikali aliyoyatumia kuifanya familia yake kuwa mabilionea ,sikuona Mmarekani na wenzake wakihusika kumuwajibisha , Omar Bongo WA Gabon katawala miaka mingi sana na mpaka kamrithisha uongozi mtoto wake pamoja na kufanya ubadhirifu wa pesa za nchi yet Marekani walikuwa kimya , Nigeria corrupt regimes imekuwa kawaida miaka na miaka ,tangia enzi za akina Sani Abacha yule aliyeiba bilioni 42 dollar ,na wengine pia mpaka leo .
Afrika itajengwa na waafrika wenyewe ,ni upumbavu wananchi hawafaidiki na uchumi wa nchi zao ,watu wanaishi kama ngedere vile ,na ukiangalia resources zilizopo zinatosha kubadilisha maisha ya mwananchi wa kawaida ,kuna wapumbavu wachache wamefanya haya mataifa kama mali zao binafsi ,mbwa kabisa hawa . Ni kuanza kudeal nao kibandidu sasa hivi kama hivyo .
Huyo fala aminywe vilivyo na wataifishe mali alizoiba yeye pamoja na baba yake miaka yote hiyo .