2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Mkuu njaa inaongea, subiri upate maokoto kama utawaza hivyo 😂😂Watu wanafanya masuala ya hovyo alafu wanatutishia kifo mashujaa kama sisi. Walikufa akina Patrice Lumumba na Samuel Doe wa Liberia kwa ajili ya wananchi wao sembuse mimi??