BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Mimi natamani lile bichwa la NAPE nilipige runguSafi sana. Huku Tanzania kuna familia na zenyewe zinataka kujimilikisha nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi natamani lile bichwa la NAPE nilipige runguSafi sana. Huku Tanzania kuna familia na zenyewe zinataka kujimilikisha nchi
Mkuu acha kabisa usiombee mapinduzi ya kijeshi yatokee huku kwetu yaani ni kitu kibaya kabisa, hakuna cha rule of law kwenye nchi yenye mapinduzi ya kijeshi na hujui kesho yako itakuwaje. Ni bora tuendelee kurekebishana hivi hivi kwa kutumia majadiliano. Kwa kweli Mungu apishie mbali!
Kulirekebisha ni watu wajiuzulu tu hamna namna ingine.Kweli hili limetia doa ingawa bado tuna nafasi ya kulirekebisha Ndugu yangu.
Wangekuwa na akili wangeiambia serikali wanayoilinda ipige marufuku mitumba badala ya kuwasumbua Wananchi wanaopigika na TOZO za Samia!!!Kuna jeshi la vichaaa wa nchi flan wapo bize kusumbua raia kisa mfanano wa nguo
Kama una akili ukiona mwenzio ananyolewa na wewe unajitia maji!! Hawa wa hapa wameishaanza kutia maji kwani wanahamishia familia zao kwenda Uarabuni na Canada!!kabisa . Hata ile kauli ya jeshi la polisi kuhusu uhaini na sakata la kina mwabukusi. Kuna kama namna ujumbe ulikuwa unatumwa mahali fulani tofauti na wengi tulivyoelewa.
Viongozi wa kiafrika ni hopeless kabisa wacha wapinduliwe.Haloo. Jogoo wa Mosco kawika Gabon?
Afrika inapitia kipindi cha mapinduzi na hii Hali siyo ya kawaida.
Mapinduzi yamefululiza sana.
Kwakweli inafikirisha sana yaani majitu yanapiga Hela yanauza Mali za nchi lakini jeshi linakuja na hoja kwamba atakaekutwa na soksi au begi la linalofanana na la jeshi atakiona Cha mdumula ngwagu wakati huo tunasubir mazoezi ya kuvunja matofali na mdomoKuna jeshi la vichaaa wa nchi flan wapo bize kusumbua raia kisa mfanano wa nguo
Ila hata nembo ya ccm inaweza kumwalibia mkuu wa Kambi km yakipelekwa majungu ngazi za juu jeshiniKuna siku nilikuwa nina shida kwenye kambi ya jeshi, Kizumbi Shinyanga. Nilikodi pikipiki, kunipeleka huko, kutoka mjini. Hiyo pikipiki, ilikuwa imebandikwa kibao cha CHADEMA, "M4C".
Sasa tumefika getini ninajieleza kwa mlinzi, akatokea mkuu wa kambi. Alivyoiona ile pikipiki, acha agombe. Eti, CHADEMA wamefuata nini hapo? Almanusra atufukuze.
Nilipoonana na mwenyeji wangu, akaniambia jamaa ni kada wa CCM wale LIALIA! Sasa, mabadiliko kupitia hawa, tusahau!
Jirani zetu tumbo joto. Yaani mtu unatawala miaka 40 dadeki.
Paka na mwenzio Musaba wajiandae.
Vipi kuhusu wale vibaraka wa warabu hii imekaaje?haya mapinduzi yataenea Afrika nzima, wananchi wamechoshwa sana na viongozi vibaraka wa magharibi ni suala la muda tu
.Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais
Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda amani, kuondoa utawala usiowajibika uliochangia kuvuruga umoja katika jamii
Mapinduzi haya yatakuwa yanamaliza Utawala wa familia ya Bongo iliyotawala Nchi hiyo kwa takriban miaka 53.
==========
Jeshi la nchi hiyo limesema limechukua madaraka baada ya tume ya uchaguzi kumtangaza Ali Bongo kama mshindi kwa kipindi cha tatu.
Katika tangazo hilo maafisa wa jeshi waliojitokeza kwenye televisheni ya taifa walisema wamefuta uchaguzi uliofanyika Jumamosi ambao ulizusha malalamiko na wamefunga mipaka yote ya nchi hiyo pamoja na kusimamisha utendaji wa kazi wa taasisi zote za kiserikali.
--
Television announcement came shortly after state election body announced incumbent Ali Bongo had won a third term as president.
A group of senior military officers have gone on national television in Gabon saying they have seized power because elections held over the weekend were not credible.
The officers, appearing on Gabon24 in the early hours of Wednesday morning, said they had cancelled the elections, dissolved all state institutions and closed the country’s borders.
They said they represented all security and defence forces of Gabon.
The announcement came shortly after the state election body said President Ali Bongo Ondimba had won a third term in office in Saturday’s disputed elections.
“In the name of the Gabonese people … we have decided to defend the peace by putting an end to the current regime,” the officers said.
The Gabonese Election Centre said Bongo had secured 64.27 percent of the vote compared with 30.77 percent for his main challenger Albert Ondo Ossa, after a process beset by delays.
On Saturday, the opposition camp said the election was a “fraud orchestrated by Ali Bongo and his supporters” after the internet was cut and a curfew imposed. French media outlets France 24, RFI and TV5 Monde were also banned, accused of “a lack of objectivity and balance … in connection with the current general elections”, the government said.
Bongo was the candidate for the Gabonese Democratic Party (PDG), the party founded by his father, Omar Bongo, who ruled Gabon with an iron fist from 1967 to 2009. After his death, his son, then the defence minister, took his place as president and has been in power ever since.
Tensions had been running high amid Saturday’s vote with the opposition pushing for change and an end to the Bongo family’s dominance of Gabon.
Following the military announcement, the Reuters and AFP news agencies reported the sound of gunfire in the Gabonese capital, Libreville.
Source: Gabon military officers claim power, say election lacked credibility
Ya hapa kwetu mkuu ni bure kabisa mpaka bandari inataka kuchukuliwa kwa mkataba wa ovyo yamelala tu.Kwakweli inafikirisha sana yaani majitu yanapiga Hela yanauza Mali za nchi lakini jeshi linakuja na hoja kwamba atakaekutwa na soksi au begi la linalofanana na la jeshi atakiona Cha mdumula ngwagu wakati huo tunasubir mazoezi ya kuvunja matofali na mdomo
.Vipi kuhusu wale vibaraka wa warabu hii imekaaje?
Nina hakika JPM angelikuwepo leo angemuunga mkono Putin kwa moyo mkunjufu.....na hiki ndicho alichokosea JPM. Yeye akawaona wazungu wote kama maadui zake.