Mwarabu mlokole
JF-Expert Member
- Jul 8, 2023
- 231
- 386
Huwezi kuirekebisha mijitu iliyojaa viburi na imeshasema kuwa imeamua kukaa kimya yaani kutupuuza.Mkuu acha kabisa usiombee mapinduzi ya kijeshi yatokee huku kwetu yaani ni kitu kibaya kabisa, hakuna cha rule of law kwenye nchi yenye mapinduzi ya kijeshi na hujui kesho yako itakuwaje. Ni bora tuendelee kurekebishana hivi hivi kwa kutumia majadiliano. Kwa kweli Mungu apishie mbali!
Kila mabadiriko yana maumivu yake. Acha kuogopa. Ni kwaajili ya mema ya vizazi vijavyo.