Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

Hiyo ndiyo maana ya jeshi la ulinzi la wananchi, hapo ilitakiwa iwepo na " rasilimali za Taifa.
Siyo kundi la wezi linagawa rasilimali za nchi jeshi lipo tu kodoooo! Amkeni
Francophone countries wanajielewa sana mkuu. Hawataki masuala ya hovyo wale. Issue kidogo tu, tayari wameshachukua hatua.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na jeshi lenyewe limeingia mkataba na waarabu. Washalambishwa asali za waarabu ndio maana wako bize kutafuta soksi zenye rangi ya jeshi [emoji1787]


Yapo huko yanakumbana na raia alievaa hata mfanano wa kombat ya jeshi la U.S
Yani ni mapuuzi balaa najua kuna wenye akili watatoka mule.
 
Nilipo mimi,kwanza wanapasua matofali kwa vichwa(ila matofali hayo,sharti yawe yametengenezwa na wao wenyewe,usiulize kwanini),wanapiga raia ambao hawana mafunzo yoyote rasmi ya kupigana(na hao raia wanaopigwa,ndiyo waliolipa kodi,ili WAO wakapate mafunzo,waje wawalinde).
Kuna kipindi chama flani cha upinzani kilitangaza maandamano,WAO wakatangaza kua siku hiyo WAO watafanya usafi.
Kwetu inasikitisha.
 
Nimefurahishwa na hili kama vile nami ni Mgabon. Gabon ingeweza kuwa moja ya nchi yenye watu matajiri zaidi duniani. Wana mafuta, nchi kubwa nzuri na hawafiki hata milioni 3. Kuongozwa na wapumbavu kunawafanya wawe wapowapo tu. Hakuna guarantee ya waliopindua kufanya vizuri, lakini kutoa kitu kisichofaa ni hatua nzuri na kubwa. My prayers to Gabonese.
Utamaduni mpya ambao utajenga nia na uzoefu wa kubadili kila kuwapo na hitilafu.
 
😂😂😂😂 Watu wanaonyesha mapenzi na Jeshi lao Jeshi linawakataa vueni magwanda hayo hatutaki mapenzi na nyinyi

Jeshi la POLISI
Jeshi la Ulinzi wa Raia na Mali Zao
Jeshi la Wananchi
Jeshi la Kujenga Taifa

Unazungumzia Jeshi lipi?
La VICHAA KWANI HAMUELEWI.
 
Chama cha kipuuzi sana kile. Kimejaza watoto wa vigogo tu wanakula nchi jinsi wanavyopenda. Mawazo yako yapo kama yangu.
Ccm haiwezi kuwa kama hiyo Nchi ya Gabon ambayo ilikuwa inaongozwa na familia.

Upumbavu kama huo ndio uko Russia na Korea Kz.

Ccm Ina network kuanzia mtendaji wa Kijiji hadi Jenerali ,ukionekana mapema unasulubiwa kabla
 
Kwakweli inafikirisha sana yaani majitu yanapiga Hela yanauza Mali za nchi lakini jeshi linakuja na hoja kwamba atakaekutwa na soksi au begi la linalofanana na la jeshi atakiona Cha mdumula ngwagu wakati huo tunasubir mazoezi ya kuvunja matofali na mdomo
Ndio acha usirudishe Sasa uone hapo Utajua Hilo jeshi linamilikiwa na nani na wewe kama una jeuri ,unda jeshi lako
 
Back
Top Bottom