ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndio maana nasema mapinduzi Huwa ni mbwembwe,hakuna Cha maana utafanya Kwa hiyo wanaoshangilia ni wapumbavu maana huo mkate hawatakaa waupate isipokuwa familia za waliopindua.Kwani hata hao wanaoingia mbele ya mabeberu wana jipya gani?huyo mbambe wa Niger tayari ameshaanza kuwa mpole baada ya kuomba kipindi cha mpito cha miaka 3!!kukataliwa na ECOWAS!!mikataba yote ya rasilimali za nchi walishagawa,sasa hata ukiingia sio suala la muda mfupi kuirekebisha!!Nao wanavuna tu kipindi cha mpito kikiisha wanawaachia wengine.
Kama uko Nje ya mfumo utakuwa mpiga vigelegele tuu na ndio maana Huwa sishabikii siasa bila maslahi