Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

Kama watu walitaka kimpindua hata Nyerere unafikir kuna mtu ana guarantee ya kubaki salama kama ataendelea ku mess up na maslahi ya watanzania walio wengi kIsa tu awafurahishe wachache?

Never say never
Hawa wa sasa wanaangalia Masilaji yao, sio Masilahi ya Taifa, hawa wa kwetu si waamini hata chembe
 
View attachment 2733075

Maafisa wa jeshi wameonekana kwenye televisheni ya taifa nchini Gabon na kusema wamechukua mamlaka.

Wamesema wanafuta matokeo ya uchaguzi wa Jumamosi, ambapo Rais Ali Bongo alitangazwa mshindi.

Tume ya uchaguzi ilisema Bw Bongo alishinda chini ya theluthi mbili tu ya kura katika uchaguzi ambao upinzani ulidai kuwa ulikuwa wa udanganyifu.

Kupinduliwa kwake kutakomesha utawala wa familia yake iliyodumu kwa miaka 53 madarakani nchini Gabon.

★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★

Gabonese military officers said they had taken power after the state election body announced President Ali Bongo had won a third term.

A group of high-ranking military officers in Gabon appeared on TV on Wednesday to announce the nullification of the country's recent election results, citing a lack of credibility.

The move comes after the state electoral body declared President Ali Bongo the winner of a third term.

Claiming to represent all of Gabon's security and defense forces, the officers declared the dissolution of "all the institutions of the republic."

They cited "irresponsible, unpredictable governance" leading to a deteriorating social climate as the reason for their intervention, aiming to restore peace by ending the current regime. The announcement on the Gabon 24 TV channel was made on behalf of a group calling itself the "Committee for the Transition and Restoration of Institutions."

In a related development, gunfire was heard in the capital city of Libreville, according to news agency AFP.

DW News
[emoji1787][emoji1787]
 
Kuna jeshi la vichaaa wa nchi flan wapo bize kusumbua raia kisa mfanano wa nguo
Kuna siku nilikuwa nina shida kwenye kambi ya jeshi, Kizumbi Shinyanga. Nilikodi pikipiki, kunipeleka huko, kutoka mjini. Hiyo pikipiki, ilikuwa imebandikwa kibao cha CHADEMA, "M4C".
Sasa tumefika getini ninajieleza kwa mlinzi, akatokea mkuu wa kambi. Alivyoiona ile pikipiki, acha agombe. Eti, CHADEMA wamefuata nini hapo? Almanusra atufukuze.
Nilipoonana na mwenyeji wangu, akaniambia jamaa ni kada wa CCM wale LIALIA! Sasa, mabadiliko kupitia hawa, tusahau!
 
Back
Top Bottom