Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

Nimefurahishwa na hili kama vile nami ni Mgabon. Gabon ingeweza kuwa moja ya nchi yenye watu matajiri zaidi duniani. Wana mafuta, nchi kubwa nzuri na hawafiki hata milioni 3. Kuongozwa na wapumbavu kunawafanya wawe wapowapo tu. Hakuna guarantee ya waliopindua kufanya vizuri, lakini kutoa kitu kisichofaa ni hatua nzuri na kubwa. My prayers to Gabonese.
 
Mkuu unadhani CPL ,CPT au SGT ndiyo wanaopindua nchi? Top Layers ndiyo wanaokula maisha....Rejea kauli ya MABETO siku ya kuapishwa Chief Hangaya.
My point wasnt kma CPT wala CPL hoja yangu ilikua kwa ujumla wajeshi0wa Gabon wana earn x 3 ya wajeshi wa hapa Kolomije.

Let me take it to youq perspective, Luteanant, Brigedia, Major, wa Gabon wanavuta mara 3 na zaidi ya hawa maofisa wa juu wa jeshi letu.
 
Back
Top Bottom