HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ukiona hivyo washanusa harufuSafi hawa ndio wanajeshi, sio hawa wetu wanatishia watu kuwasaka majunbani kisa vitambaa vya mabakabaka tu!!. Tanganyika inaibiwa mali wao wapo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivyo washanusa harufuSafi hawa ndio wanajeshi, sio hawa wetu wanatishia watu kuwasaka majunbani kisa vitambaa vya mabakabaka tu!!. Tanganyika inaibiwa mali wao wapo tu.
Hawa ndo wanaume sasaKikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais
Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda amani, kuondoa utawala usiowajibika uliochangia kuvuruga umoja katika jamii
Mapinduzi haya yatakuwa yanamaliza Utawala wa familia ya Bongo iliyotawala Nchi hiyo kwa takriban miaka 53.
==========
Jeshi la nchi hiyo limesema limechukua madaraka baada ya tume ya uchaguzi kumtangaza Ali Bongo kama mshindi kwa kipindi cha tatu.
Katika tangazo hilo maafisa wa jeshi waliojitokeza kwenye televisheni ya taifa walisema wamefuta uchaguzi uliofanyika Jumamosi ambao ulizusha malalamiko na wamefunga mipaka yote ya nchi hiyo pamoja na kusimamisha utendaji wa kazi wa taasisi zote za kiserikali.
--
Television announcement came shortly after state election body announced incumbent Ali Bongo had won a third term as president.
A group of senior military officers have gone on national television in Gabon saying they have seized power because elections held over the weekend were not credible.
The officers, appearing on Gabon24 in the early hours of Wednesday morning, said they had cancelled the elections, dissolved all state institutions and closed the country’s borders.
They said they represented all security and defence forces of Gabon.
The announcement came shortly after the state election body said President Ali Bongo Ondimba had won a third term in office in Saturday’s disputed elections.
“In the name of the Gabonese people … we have decided to defend the peace by putting an end to the current regime,” the officers said.
The Gabonese Election Centre said Bongo had secured 64.27 percent of the vote compared with 30.77 percent for his main challenger Albert Ondo Ossa, after a process beset by delays.
On Saturday, the opposition camp said the election was a “fraud orchestrated by Ali Bongo and his supporters” after the internet was cut and a curfew imposed. French media outlets France 24, RFI and TV5 Monde were also banned, accused of “a lack of objectivity and balance … in connection with the current general elections”, the government said.
Bongo was the candidate for the Gabonese Democratic Party (PDG), the party founded by his father, Omar Bongo, who ruled Gabon with an iron fist from 1967 to 2009. After his death, his son, then the defence minister, took his place as president and has been in power ever since.
Tensions had been running high amid Saturday’s vote with the opposition pushing for change and an end to the Bongo family’s dominance of Gabon.
Following the military announcement, the Reuters and AFP news agencies reported the sound of gunfire in the Gabonese capital, Libreville.
Source: Gabon military officers claim power, say election lacked credibility
Wanakuwaje neutral wakati wanafaidika?Jeshi letu muwe neutral, huu ni mfano hai - CCM wakiiba kura mchana mchana msiwachekee, hii ndiyo dawa yao. Simama futa uchaguzi, badili sheria na kanuni - tunaingia mzigoni tena them mshindi anapewa dola.
Labda wana hizo sifaWamejishtukia mapema
Safi sanaKikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais
Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda amani, kuondoa utawala usiowajibika uliochangia kuvuruga umoja katika jamii
Mapinduzi haya yatakuwa yanamaliza Utawala wa familia ya Bongo iliyotawala Nchi hiyo kwa takriban miaka 53.
==========
Jeshi la nchi hiyo limesema limechukua madaraka baada ya tume ya uchaguzi kumtangaza Ali Bongo kama mshindi kwa kipindi cha tatu.
Katika tangazo hilo maafisa wa jeshi waliojitokeza kwenye televisheni ya taifa walisema wamefuta uchaguzi uliofanyika Jumamosi ambao ulizusha malalamiko na wamefunga mipaka yote ya nchi hiyo pamoja na kusimamisha utendaji wa kazi wa taasisi zote za kiserikali.
--
Television announcement came shortly after state election body announced incumbent Ali Bongo had won a third term as president.
A group of senior military officers have gone on national television in Gabon saying they have seized power because elections held over the weekend were not credible.
The officers, appearing on Gabon24 in the early hours of Wednesday morning, said they had cancelled the elections, dissolved all state institutions and closed the country’s borders.
They said they represented all security and defence forces of Gabon.
The announcement came shortly after the state election body said President Ali Bongo Ondimba had won a third term in office in Saturday’s disputed elections.
“In the name of the Gabonese people … we have decided to defend the peace by putting an end to the current regime,” the officers said.
The Gabonese Election Centre said Bongo had secured 64.27 percent of the vote compared with 30.77 percent for his main challenger Albert Ondo Ossa, after a process beset by delays.
On Saturday, the opposition camp said the election was a “fraud orchestrated by Ali Bongo and his supporters” after the internet was cut and a curfew imposed. French media outlets France 24, RFI and TV5 Monde were also banned, accused of “a lack of objectivity and balance … in connection with the current general elections”, the government said.
Bongo was the candidate for the Gabonese Democratic Party (PDG), the party founded by his father, Omar Bongo, who ruled Gabon with an iron fist from 1967 to 2009. After his death, his son, then the defence minister, took his place as president and has been in power ever since.
Tensions had been running high amid Saturday’s vote with the opposition pushing for change and an end to the Bongo family’s dominance of Gabon.
Following the military announcement, the Reuters and AFP news agencies reported the sound of gunfire in the Gabonese capital, Libreville.
Source: Gabon military officers claim power, say election lacked credibility
Kabisa hawana akiliKuna jeshi la vichaaa wa nchi flan wapo bize kusumbua raia kisa mfanano wa nguo
Kwa Jeshi lipi Jeshi la CCM au acha ndoto za Mchana bwamdogoKabisa, hii ndio dawa ya dubwana CCM!.
The USSR is back. Haya yalitokea sana miaka ya 1970s wakati wa vita baridi. Kufikia 1991 yakasimama baada ya USSR kusambaratika na Russia kuanza kujijenga upya. NATO imetamba sana kuanzia hapo ila naona sasa USSR inarudi kupitia mother Russia.Haloo. Jogoo wa Mosco kawika Gabon?
Afrika inapitia kipindi cha mapinduzi na hii Hali siyo ya kawaida.
Mapinduzi yamefululiza sana.
Taratibu za kijinga hizo. Hiyo yote ni kwa sababu wamekosa kazi za kufanya.Kila nchi inataratibu zake,Tz uruhusiwi kivaa mavazi ya jeshi au yafananayo na jeshi.mavazi mazuri yapo mengi sasa kwanini uvae kombati hata km sio ya Tz ili iweje!
enyi wachambuzi wa mambo, mnataka kusema putin ameamua kumfurusha mfaransa katika makoloni yake afrika?Vibaraka was ufaransa wanazidi kuondolewa
Hawana akiliSafi hawa ndio wanajeshi, sio hawa wetu wanatishia watu kuwasaka majunbani kisa vitambaa vya mabakabaka tu!!. Tanganyika inaibiwa mali wao wapo tu.
Wanapelekeshwa na wanasiasaSafi hawa ndio wanajeshi, sio hawa wetu wanatishia watu kuwasaka majunbani kisa vitambaa vya mabakabaka tu!!. Tanganyika inaibiwa mali wao wapo tu.