Lina mwisho na lina mwanzoLakini Kila jambo Lina mwisho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lina mwisho na lina mwanzoLakini Kila jambo Lina mwisho.
Sahau Mzee wangu haitotokea hio unazungumzia Jeshi lipi la Wokovu?Atakuja kitokea mmoja mwenye uchungu na nchi yake. Hata kama sio sasa, basi hata 20 years to come.
Hawa wa kwetu sijui hata wana matatizo Gani?Natamani huyu wa kwetu nae afanye yake, atunyooshe kidogo maana ile 2020 ulikua ni zaidi ya wizi ndio imetuletea viongozi ....
safi sanaKikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais
Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda amani, kuondoa utawala usiowajibika uliochangia kuvuruga umoja katika jamii
Mapinduzi haya yatakuwa yanamaliza Utawala wa familia ya Bongo iliyotawala Nchi hiyo kwa takriban miaka 53.
==========
Jeshi la nchi hiyo limesema limechukua madaraka baada ya tume ya uchaguzi kumtangaza Ali Bongo kama mshindi kwa kipindi cha tatu.
Katika tangazo hilo maafisa wa jeshi waliojitokeza kwenye televisheni ya taifa walisema wamefuta uchaguzi uliofanyika Jumamosi ambao ulizusha malalamiko na wamefunga mipaka yote ya nchi hiyo pamoja na kusimamisha utendaji wa kazi wa taasisi zote za kiserikali.
--
Television announcement came shortly after state election body announced incumbent Ali Bongo had won a third term as president.
A group of senior military officers have gone on national television in Gabon saying they have seized power because elections held over the weekend were not credible.
The officers, appearing on Gabon24 in the early hours of Wednesday morning, said they had cancelled the elections, dissolved all state institutions and closed the country’s borders.
They said they represented all security and defence forces of Gabon.
The announcement came shortly after the state election body said President Ali Bongo Ondimba had won a third term in office in Saturday’s disputed elections.
“In the name of the Gabonese people … we have decided to defend the peace by putting an end to the current regime,” the officers said.
The Gabonese Election Centre said Bongo had secured 64.27 percent of the vote compared with 30.77 percent for his main challenger Albert Ondo Ossa, after a process beset by delays.
On Saturday, the opposition camp said the election was a “fraud orchestrated by Ali Bongo and his supporters” after the internet was cut and a curfew imposed. French media outlets France 24, RFI and TV5 Monde were also banned, accused of “a lack of objectivity and balance … in connection with the current general elections”, the government said.
Bongo was the candidate for the Gabonese Democratic Party (PDG), the party founded by his father, Omar Bongo, who ruled Gabon with an iron fist from 1967 to 2009. After his death, his son, then the defence minister, took his place as president and has been in power ever since.
Tensions had been running high amid Saturday’s vote with the opposition pushing for change and an end to the Bongo family’s dominance of Gabon.
Following the military announcement, the Reuters and AFP news agencies reported the sound of gunfire in the Gabonese capital, Libreville.
Source: Gabon military officers claim power, say election lacked credibility
Mgabe alifanyiwa hivyo, na hii vugu vugu ya matokeo ya uchaguzi wa sasa, sina hakika kama watafikia huku.Zimbabwe is next
Museven anakula sahani moja na Urusi na anaitendea vyema nchi yake. Sio mpuuzi kama viongozi wa taifa la bongo.Wafanye na nchi fulani wasisahau kwa mseven
Hovyoo kabisa..Wanapelekeshwa na wanasiasa
wanaweza mkuu, kumeanza kufukutaMgabe alifanyiwa hivyo, na hii vugu vugu ya matokeo ya uchaguzi wa sasa, sina hakika kama watafikia huku.
Sahani moja na urusi sawa, ila kutendea vyema nchi yake hiyo hapana, sahizi anagari lake la kioo anavokagua gwaride la kijeshi inamaana hana imani pia na baadhi ya wanajeshiMuseven anakula sahani moja na Urusi na anaitendea vyema nchi yake. Sio mpuuzi kama viongozi wa taifa la bongo.
Taratibu afrika tutaeleKikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais
Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda amani, kuondoa utawala usiowajibika uliochangia kuvuruga umoja katika jamii
Mapinduzi haya yatakuwa yanamaliza Utawala wa familia ya Bongo iliyotawala Nchi hiyo kwa takriban miaka 53.
==========
Jeshi la nchi hiyo limesema limechukua madaraka baada ya tume ya uchaguzi kumtangaza Ali Bongo kama mshindi kwa kipindi cha tatu.
Katika tangazo hilo maafisa wa jeshi waliojitokeza kwenye televisheni ya taifa walisema wamefuta uchaguzi uliofanyika Jumamosi ambao ulizusha malalamiko na wamefunga mipaka yote ya nchi hiyo pamoja na kusimamisha utendaji wa kazi wa taasisi zote za kiserikali.
--
Television announcement came shortly after state election body announced incumbent Ali Bongo had won a third term as president.
A group of senior military officers have gone on national television in Gabon saying they have seized power because elections held over the weekend were not credible.
The officers, appearing on Gabon24 in the early hours of Wednesday morning, said they had cancelled the elections, dissolved all state institutions and closed the country’s borders.
They said they represented all security and defence forces of Gabon.
The announcement came shortly after the state election body said President Ali Bongo Ondimba had won a third term in office in Saturday’s disputed elections.
“In the name of the Gabonese people … we have decided to defend the peace by putting an end to the current regime,” the officers said.
The Gabonese Election Centre said Bongo had secured 64.27 percent of the vote compared with 30.77 percent for his main challenger Albert Ondo Ossa, after a process beset by delays.
On Saturday, the opposition camp said the election was a “fraud orchestrated by Ali Bongo and his supporters” after the internet was cut and a curfew imposed. French media outlets France 24, RFI and TV5 Monde were also banned, accused of “a lack of objectivity and balance … in connection with the current general elections”, the government said.
Bongo was the candidate for the Gabonese Democratic Party (PDG), the party founded by his father, Omar Bongo, who ruled Gabon with an iron fist from 1967 to 2009. After his death, his son, then the defence minister, took his place as president and has been in power ever since.
Tensions had been running high amid Saturday’s vote with the opposition pushing for change and an end to the Bongo family’s dominance of Gabon.
Following the military announcement, the Reuters and AFP news agencies reported the sound of gunfire in the Gabonese capital, Libreville.
Source: Gabon military officers claim power, say election lacked credibility
Taratibu hizi movement zitafika Tanzania..Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais

inashangaza sana watu 12 wanafanya mapinduzi na kufanikiwaKwa nini kikosi cha watu 12 tu kipindue na jeshi lote kutii? Wanatumia mbinu zipi?
Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais
Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda amani, kuondoa utawala usiowajibika uliochangia kuvuruga umoja katika jamii
Mapinduzi haya yatakuwa yanamaliza Utawala wa familia ya Bongo iliyotawala Nchi hiyo kwa takriban miaka 53.
==========
Jeshi la nchi hiyo limesema limechukua madaraka baada ya tume ya uchaguzi kumtangaza Ali Bongo kama mshindi kwa kipindi cha tatu.
Katika tangazo hilo maafisa wa jeshi waliojitokeza kwenye televisheni ya taifa walisema wamefuta uchaguzi uliofanyika Jumamosi ambao ulizusha malalamiko na wamefunga mipaka yote ya nchi hiyo pamoja na kusimamisha utendaji wa kazi wa taasisi zote za kiserikali.
--
Television announcement came shortly after state election body announced incumbent Ali Bongo had won a third term as president.
A group of senior military officers have gone on national television in Gabon saying they have seized power because elections held over the weekend were not credible.
The officers, appearing on Gabon24 in the early hours of Wednesday morning, said they had cancelled the elections, dissolved all state institutions and closed the country’s borders.
They said they represented all security and defence forces of Gabon.
The announcement came shortly after the state election body said President Ali Bongo Ondimba had won a third term in office in Saturday’s disputed elections.
“In the name of the Gabonese people … we have decided to defend the peace by putting an end to the current regime,” the officers said.
The Gabonese Election Centre said Bongo had secured 64.27 percent of the vote compared with 30.77 percent for his main challenger Albert Ondo Ossa, after a process beset by delays.
On Saturday, the opposition camp said the election was a “fraud orchestrated by Ali Bongo and his supporters” after the internet was cut and a curfew imposed. French media outlets France 24, RFI and TV5 Monde were also banned, accused of “a lack of objectivity and balance … in connection with the current general elections”, the government said.
Bongo was the candidate for the Gabonese Democratic Party (PDG), the party founded by his father, Omar Bongo, who ruled Gabon with an iron fist from 1967 to 2009. After his death, his son, then the defence minister, took his place as president and has been in power ever since.
Tensions had been running high amid Saturday’s vote with the opposition pushing for change and an end to the Bongo family’s dominance of Gabon.
Following the military announcement, the Reuters and AFP news agencies reported the sound of gunfire in the Gabonese capital, Libreville.
Source: Gabon military officers claim power, say election lacked credibility
Huwa hawana kazi za kufanya ndio maana Wana deal na vitu vya kipuuziKuna jeshi la vichaaa wa nchi flan wapo bize kusumbua raia kisa mfanano wa nguo
Majeshi yenye weledi na utashi huwez skia mambo hayoHuwa hawana kazi za kufanya ndio maana Wana deal na vitu vya kipuuzi
inashangaza sana watu 12 wanafanya mapinduzi na kufanikiwa