Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

The USSR is back. Haya yalitokea sana miaka ya 1970s wakati wa vita baridi. Kufikia 1991 yakasimama baada ya USSR kusambaratika na Russia kuanza kujijenga upya. NATO imetamba samba kuanzia hapo ila naona sasa USSR inarudi kupitia mother Russia.
na endapo russia atashinda vita ukraine dhidi ya mataifa ya magharibi basi ussr inaibuka upya. Maana huo muungano utazirudisha nchi zake zote kwa hiari au kwa lazima. Huku afrika ussr itajipatia makoloni yake kimtindo kwa kuwafurusha wafaransa na waingereza plus wareno na wahispania ongeza na italia bila kusahau ujerumani. Ni zama mpya wababe wa dunia kugombea rasimali za ulimwengu
 
halafu huku kwetu bado wapo wapo tu wamelala mguu juu. Tuna safari ndefu kuwafikiwa hao wa Gabon kwa kweli- kwa hisani ya "amani yetu"-mama Tanzania
Mkuu acha kabisa usiombee mapinduzi ya kijeshi yatokee huku kwetu yaani ni kitu kibaya kabisa, hakuna cha rule of law kwenye nchi yenye mapinduzi ya kijeshi na hujui kesho yako itakuwaje. Ni bora tuendelee kurekebishana hivi hivi kwa kutumia majadiliano. Kwa kweli Mungu apishie mbali!
 
Kwa utawala uliopo kesho yako wewe unaijua? 😂 😂 😂 Watu wanauza maeneo kwa wajomba
 
Back
Top Bottom