Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

Nchi za Afrika ngumu sana, yaani mtu alipata stroke bado hajapona ila analazimisha kuwa Rais alafu akipinduliwa ndio anakimbia!! Inakera sana. Nadhani ifike Mahali wawe wananyongwa hadharani kuepusha hizi tabia
Huyu kwa hali ile huko ikulu alikua anaenda kufanya nn? Naona jeshi limeona huu ujinga sasa ngoja tuwaweke kando
 
Safi sana.
Mungu ibariki Tanzania na sisi tufikie huku.
Tumechoka kuwa watumwa wa hawa viongozi vibaraka wa whites.
Hii sio kweli, hata hao waliopindua nao wanakua vibaraka wa wengine. Labda useme wametofautishiwa master tu ila Kwa Dunia ya Sasa ni lazma uwe eastern bloc au western bloc otherwise utapotezwa kwenye ramani.
 
Kuna jeshi la vichaaa wa nchi flan wapo bize kusumbua raia kisa mfanano wa nguo
😂😂😂😂 Watu wanaonyesha mapenzi na Jeshi lao Jeshi linawakataa vueni magwanda hayo hatutaki mapenzi na nyinyi

Jeshi la POLISI
Jeshi la Ulinzi wa Raia na Mali Zao
Jeshi la Wananchi
Jeshi la Kujenga Taifa

Unazungumzia Jeshi lipi?
 
Kwanza nianze na Intro, kumbe nimegundua katika nchi kitengo muhimu kabisa na chenye nguvu ni Jeshi linaloongozwa na CDF, sababu kubwa zikiwa ni Mbili anaweza kuamuru majeshi, lakini pia Ana silaha nzito na za kutosha kuliko jeshi lingine kama Polisi na Magereza.
Sasa haya mambo ya Wizi wa kura yamewatokea puani watawala nchini Gabon , baada ya CDF ambaye ni mteule wa Raisi kutangaza Kuchukua nchi baada ya Wizi mkubwa wa Kura. Nchi nyingi za Kaskazini mwa Africa zimeanza mtindo huo ambao Kwa nchi za SADC yaani kusini bado uwizi wa kura unatokea na jeshi halifanyi chochote. Lakini Kila jambo Lina mwisho.
 
Back
Top Bottom